Books about and by Mwalimu Nyerere
Permanent URI for this collection
Browse
Browsing Books about and by Mwalimu Nyerere by Title
Now showing 1 - 19 of 19
Results Per Page
Sort Options
Item Ana kwa ana na Rais Nyerere: maswali; David Martin, majibu; Rais Nyerere(East African Publishing House, 1976) Nyerere, Julius KambarageAna kwa ana ni tafsiri ya mahojiano baina ya Raisi wa Tanzania, Mwalimu Julius K. Nyerere, na mwandishi wa magezeti David Martin. Mahojiano haya yalichapishwa katika gazeti la kiingereza, New internationalist, tolea la Mei, 1973Item Awamu ya pili ya mradi wa kuimarisha chama(Makao Makuu, Dodoma Ofisi ya Katibu Mkuu wa CCM, 1987) Nyerere, Julius. KKitabu hichi kina hotuba mbili zilizotolewa na mwenyekiti wa chama cha mapinduzi Mwalimu Julius Kambarage Nyerere katika kuhimiza utekelezaji wa mradi wa kuimarisha chama.Hotuba hizo alizitoa mjini Moshi tarehe 20 septemba 1987 na Dodoma tarehe 25 1987Item Azimio la Arusha baada ya miaka kumi(Government Printer, 1977) Nyerere, Julius Kambarage; Nyerere, J.KAzimio la Arusha ni tamko rasmi la kisiasa lilikosudiwa kuongoza Tanzania katika njia ya ujamaa kadiri ya maelekezo hasa ya Julius Kambarage Nyerere.Jina la azimio linatokana na mji wa Arusha lilipitishwa tarehe 26-29 Januari 1967. Tarehe 5 Februari 1967 Mwalimu Nyerere alilitangaza huko Dar es Salaam kama uamuzi wa Watanzania wa kuondoa unyonge wao.Tamko la Arusha lina sehemu tano: Itikadi ya chama cha TANU; Siasa ya ujamaa; Siasa ya kujitegemea; Uanachama wa TANU; na Azimio la Arusha.Item Education for Self-Reliance(Government of Tanzania, 1967) Nyerere, Julius KThis book focuses on education for self reliance of Tanzania peopleItem Julius Nyerere: Humanist, Politician, Thinker(Russian Tanzanian Cultural Centre, 2003) Vinokurov, Y.N, S.M and Y.V Shlyonskaya and DyachkovaThis book contain the major papers delivered at the conference dedicated to the memory of Julius Nyerere, held in January 200 at the Institute for African Studies of Russian Academy of Sciences. Scholars, veterans of the diplomatic service and officials of Russian government bodies, having professional interests in Africa, Attended the conference.Item Kesi ya Julius Kambarage Nyerere 1958(Tanzania Publishing House Ltd., 1990) Ngh'waya, SimonKitabu hichi kimeelezea mashtaka dhidi ya Mwalimu Julius Nyerere kuhusu Ma DC wawili wa kikoloni. Mashtaka hayo yalitokana na gazeti la TANU la wakati ule 'Sauti ya TANU' namba 29 lilitolewa tarehe 7 Mei, 1958, kuhusu udhalimu wa wakoloni katika ukanda wa ziwa Victoria.Item Mpando wa sherehe ya kutawazwa kwa raisi(Government printer, 1965-10-01) Nyerere, Julius. KHichi ni kitabu kilichoeleza mpango wa sherehe za kutawazwa kwa raisi Julius Kambarage Nyerere oktoba, 1965Item Nyerere on socialism(Oxford University Press, 1966) Nyerere, Julius KambarageThis book contain the introduction about president Julius K. Nyerere and his two volumes of speeches and writing which are freedom and unity (1966) and freedom and socialism (1968).Item Nyerere: 1961-1985 Passing on the Tongs(Tanzania Standard Limited, 1986) Nyerere, Julius KambarageThis book was published in 1986 by Tanzania Standard Limited, publisher of Daily News and Sunday News. It focused with the biography of Mwalimu Nyerere, role in fostering unity, women's involvement and the birth of CCM and after.Item Rhodesia: the case for majority rule(Indian Council for Africa, 1966) Nyerere, Julius Kambarage; Nkomo, JoshuaAS we inevitability move towards majority rule in Southern Rhodesia,a lot of questions are being asked by number of people, both here and abroad. Not only are questions being asked, but also statements of facts and intentions are being advanced.Not all of these questions and statements of facts and intentions are being made with an undoubted honesty of purpose.Others are so.Being, as I am, an ardent exponent of majority rule, as the only and natural solution to the political, social and economic problems that beset the country, let me give a picture of the majority rule that we are strugglingfor, as I see it.Since the various problems that face us today as we move towards majority rule have their origin in the historic development of this country, I wish to give a short resume of this important background in my preliminary observations. The first Government of Southern Rhodesia, as we know it today, wasbased on the Charter granted to Cecil John Rhodes by Queen victoria in 1889.(I say the first Government of this country”as we know it today” because there were African government of the country ,before the country was known as Southern Rhodesia)The entire Government and administration of the country was given to BSA Company created by the 1889 Charter. The powers of the Administration were, of course, subject to the authority of the British Colonial Secretary. Things remained so until 1923 when responsible Government was granted to the Colony after a referendum conducted among about 13,000 White settlers Though this was a decision that was bound to affect the Africa people drastically, no attempt was made to consult them on the matter.Item Socialism and rural development(Govt. Printer, 1967) Nyerere, Julius kambarageThe traditional African family lived according to the basic principles of ujamaa. Its members did this unconsciously,and without any conception of what they were doing in political terms.They lived together and worked together because that was how they understood life,and how they reinforced each other against the difficulties they had to contend with-the uncertainties of weather and sickness,the depredations of wild animals(and sometimes human enemies),and the cycle of life and death. The results of their joint effort were divided unequally between them,but according to well-understood customs. And the division was always on the basis of the fact that every member of the family had to have enough to eat,some simple covering,and a place to sleep,before any of them(even the head of the family) had anything extra. The family members thought of themselves as one,and all their language and behavior emphasized their unity. The basic goods of life were "our food","our land","our cattle".And identity was established in terms of relationships; mother and father of so-and-so; daughter of so-and-so;wife of such and such person.They lived together and they worked together; and the result of their joint labour was the property of the family as a whole.Item South Africa and the commonwealth(Government Printer, 1971) Nyerere, Julius KambarageAt a press conference in the United States in December,1970,and as reported by the B.B.C.,Prime Minister Health said: "The Commonwealth has always existed and worked on the basis that members respect each other's interests". Tanzania certainly has no quarrel with that description of one aspect of the Commonwealth. It implies a mutual responsibility between Commonwealth members,as well as the complete national sovereignty of every individual member to purse his own country's interests . In other words,it is a recognition that, while every Commonwealth member has complete freedom to make its own decisions, each nation has also,by its membership ,accepted an obligation to try to the best of its ability to pursue its own interests and needs in such a manner that its actions will not adversely affect the basic interests of other members. This combination of complete freedom and inter-responsibility is an important and fundamental part of Commonwealth membership. There is one other. By the composition of the Commonwealth,one basic principle is implicitly accepted by every member. If we are not opposed to racialism,we have no business sitting down together in an association which consists of representatives of all the racial groups in the world.Item Tanzania miaka kumi baada ya uhuru(TANU National Conference, 1971) Nyerere, Julius kambarageNilipokuwa Bagamoyo mwezi Desemba,1961 nilitoa tamko ambalo watu wengi walidhani kuwa ni ndoto tupu.Nilisema kuwa kwa muda wa miaka kumi ijayo wananchi wa Tanganyika wataweza kufanya mengi zaidi ya kuendeleza nchi yetu kuliko yote yaliyofanywa na wakoloni katika itatimia itakapofika Desemba 9 Mwaka huu. Je tumeikamilisha ahadi hiyo? Au jambo muhimu zaidi,maisha ya watu wa Tanzania leo yakoje? Tumepiga hatua gani katika kuushinda “umasikini , ujinga na maradhi” nilioutamka siku ile? Na vile vile,katika kujibu maswali hayo, yafaa tujiulize matatizo gani ya maendeleo tuliyoyapta kufika mwaka 1971.Item Tanzania ten years after independence(TANU National Conference, 1971) Nyerere, Julius kambarageIn Bagamoyo in December,1961.I made what many people regarded as a rash statement.I said that in the coming ten years we, the people of Tanganyika,would do more to develop our country than the colonialist had done in the previous forty years. Those ten years will be up on 9th December this year.Have we justified my prophesy? More important, how does life feel to the people of Tanzania? What progress have we made in dealing with the "poverty, ignorance and disease" which I referred to on that day? And,following from that question, what new problems of development have we reached in 1971?This report is intended to give a general answer to those questions.It will reveal much that we can be proud of but also some things which give very little cause for satisfactions and really show only how far we have yet to go ,and how much we have to do . For over the past ten years we have made many mistakes and some of these we have hardly begun to correct.It is necessary that we face up to these matters now and realize the kind of effort which is called for .Yet in doing this we must not allow ourselves to be discouraged; for the truth is that we have done a great deal in the past ten years.We have made many changes,we have done a lot of building and we have now created a base from which our nation can advance more quickly and more freely in future.Item Uhuru mpaka Jamuhuri(Idara ya Habari, 1962) Idara ya HabariMwaka wa kwanza wa maendeleo decemba 1961-decemba 1962Item Uhuru na maendeleo(Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1967) Nyerere, Julius KambarageUhuru na Maendeleo ni vitu vinavyohusiana sana;uhusiano wao ni sawa na uhusiano baina ya kuku na yai! Bila ya kuku hupati mayai;na bila mayai kuku watakwisha.Vile vile,bila ya uhuru hupati maendeleo,na bila ya maendeleo ni dhahiri kwamba uhuru wako utaotea.Item Ujamaa ni imani: moyo kabla ya silaha(East African Publishing House, 1967) Nyerere, Julius KambarageHotuba waliyotolewa walimu waliohudhuria sherehe za vijana,ukumbi wa diamond jubilee,Jumamosi,Mei 30,1969Item Ujamaa vijijini(Mpiga Chapa Mkuu wa Serikali, 1967) Nyerere, Julius KambarageJamaa ya kiafrika ya zamani iliishi kwa misingi ambayo sasa tunaiita misingi ya ujamaa.Ungewauliza wanaishiije,wasingekujibu kisiasa kama tunavyojibu sasa kwamba wanaishi kijamaa.Waliishi tu kijamaa na wala hawakujua namna nyingine ya kuishi.Waliishi pamoja na kufanya kazi pamoja kwa sababu hivyo ndivyo walivyoweza kusaidiana kupambana na matatizo mbali mbali ya maisha-mvua na jua,maradhi,hatari za wanyama au binadamu wengine,na safari nzima ya tangu kuanza maisha mpaka kufikia mauti. Matunda ya kufanya kazi pamoja hayakuwa yakigawanywa sawa sawa kabisa ,lakini sheria za kugawanya zilijulikana na msingi wake ulikuwa ni kwamba kila mmoja wa jamaa ana haki ya kupata chakula cha kutosha,mavazi ya kutosha,na mahali pa kulala kabla mtu mwingine(hata mkubwa wa jamaa) hajapta zaidi ya hapo.Walijiona kwamba ni kitu kimoja;na lugha zao na vitendo vyao vilisisitiza umoja wa jamaa yao.Mahitaji ya lazima ya maisha yalikuwa ni " chakula chetu","ardhi yetu","ngombe wetu".Hata namna ya kuitana ilisisitiza umoja na uhusiano wa ujamaa.Binti Fulani au Bin Fulani;Mama Fulani au Baba Fulani;Mka Fulani au hata mke mwenzi Fulani n.k Waliishi pamoja na kufanya kazi pamoja; na matunda ya kazi yao yalikuwa ni mali ya jamaa nzima.Item Wafanyakazi na ujamaa Tanzania(NUTA Press Ltd, 1977) Nyerere, Julius Kambarage