Uhuru na maendeleo

Date

1967

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Abstract

Uhuru na Maendeleo ni vitu vinavyohusiana sana;uhusiano wao ni sawa na uhusiano baina ya kuku na yai! Bila ya kuku hupati mayai;na bila mayai kuku watakwisha.Vile vile,bila ya uhuru hupati maendeleo,na bila ya maendeleo ni dhahiri kwamba uhuru wako utaotea.

Description

Available in print form, East Africana Collection, Dr. Wilbert Chagula Library, Class Mark ( IKR-MKV PAM DT438.N92)

Keywords

Tanzania, Politics and Government

Citation

Nyerere,J.k(1967).Uhuru na maendeleo. Dar es Salaam:Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,p.14