Tanzania miaka kumi baada ya uhuru

Date

1971

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

TANU National Conference

Abstract

Nilipokuwa Bagamoyo mwezi Desemba,1961 nilitoa tamko ambalo watu wengi walidhani kuwa ni ndoto tupu.Nilisema kuwa kwa muda wa miaka kumi ijayo wananchi wa Tanganyika wataweza kufanya mengi zaidi ya kuendeleza nchi yetu kuliko yote yaliyofanywa na wakoloni katika itatimia itakapofika Desemba 9 Mwaka huu. Je tumeikamilisha ahadi hiyo? Au jambo muhimu zaidi,maisha ya watu wa Tanzania leo yakoje? Tumepiga hatua gani katika kuushinda “umasikini , ujinga na maradhi” nilioutamka siku ile? Na vile vile,katika kujibu maswali hayo, yafaa tujiulize matatizo gani ya maendeleo tuliyoyapta kufika mwaka 1971.

Description

Available in print form, East Africana Collection, Dr. Wilbert Chagula Library, Class Mark ( EAF PAM DT438.T33)

Keywords

Tanzania, Addresses, essays, lectures

Citation

Nyerere,J.K (1971)Tanzania miaka kumi baada ya uhuru. Dar es Salaam, TANU National Conference,p.89