Kesi ya Julius Kambarage Nyerere 1958

Date

1990

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

Tanzania Publishing House Ltd.

Abstract

Kitabu hichi kimeelezea mashtaka dhidi ya Mwalimu Julius Nyerere kuhusu Ma DC wawili wa kikoloni. Mashtaka hayo yalitokana na gazeti la TANU la wakati ule 'Sauti ya TANU' namba 29 lilitolewa tarehe 7 Mei, 1958, kuhusu udhalimu wa wakoloni katika ukanda wa ziwa Victoria.

Description

Available in printi form, East Africana Collection, Dr. Wilbert Chagula Library (EAF PAM KRD.N45)

Keywords

Nyerere, Julius Kambarage, Trials

Citation

Ngh'waya, S (1990), Kesi ya Julius Kambarage Nyerere 1958;Tanzania Publishing House Ltd, Dar es salaam.p.56