Awamu ya pili ya mradi wa kuimarisha chama

Date

1987

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

Makao Makuu, Dodoma Ofisi ya Katibu Mkuu wa CCM

Abstract

Kitabu hichi kina hotuba mbili zilizotolewa na mwenyekiti wa chama cha mapinduzi Mwalimu Julius Kambarage Nyerere katika kuhimiza utekelezaji wa mradi wa kuimarisha chama.Hotuba hizo alizitoa mjini Moshi tarehe 20 septemba 1987 na Dodoma tarehe 25 1987

Description

Available in print form, East Africana Collection. Dr. Wilbert Chagula Library (EAF PAM JQ 3519.A8.N9

Keywords

Awamu ya Pili, Kuimarisha Chama

Citation

Nyerere, J. K (1987). Awamu ya Pili ya Mradi wa Kuimarisha Chama, Dodoma:Makao Makuu, Dodoma Ofisi ya Katibu Mkuu wa CCM.p.27