Ana kwa ana na Rais Nyerere: maswali; David Martin, majibu; Rais Nyerere

Date

1976

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

East African Publishing House

Abstract

Ana kwa ana ni tafsiri ya mahojiano baina ya Raisi wa Tanzania, Mwalimu Julius K. Nyerere, na mwandishi wa magezeti David Martin. Mahojiano haya yalichapishwa katika gazeti la kiingereza, New internationalist, tolea la Mei, 1973

Description

EAF.PAM JQ 3514.N9

Keywords

Tanzania,, Politics, Government

Citation

Nyerere, J.K (1976). Ana kwa ana na Rais Nyerere: maswali; David Martin, majibu; Rais Nyerere. Dar es Salaam: East African Publishing House, p.39