Azimio la Arusha baada ya miaka kumi

Date

1977

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

Government Printer

Abstract

Azimio la Arusha ni tamko rasmi la kisiasa lilikosudiwa kuongoza Tanzania katika njia ya ujamaa kadiri ya maelekezo hasa ya Julius Kambarage Nyerere.Jina la azimio linatokana na mji wa Arusha lilipitishwa tarehe 26-29 Januari 1967.

Tarehe 5 Februari 1967 Mwalimu Nyerere alilitangaza huko Dar es Salaam kama uamuzi wa Watanzania wa kuondoa unyonge wao.Tamko la Arusha lina sehemu tano: Itikadi ya chama cha TANU; Siasa ya ujamaa; Siasa ya kujitegemea; Uanachama wa TANU; na Azimio la Arusha.

Description

Available in print form, East Africana Collection, Dr. Wilbert Chagula library Class mark EAF PAM DT438.N9

Keywords

Arusha Declaration,, Socialism in Tanzania

Citation

Nyerere, J.K (1977). Azimio la Arusha baada ya miaka kumi. Dar es Salaam: Government Printer, p56