Tanzania Newspapers Articles Database
Permanent URI for this community
Browse
Browsing Tanzania Newspapers Articles Database by Issue Date
Now showing 1 - 20 of 33
Results Per Page
Sort Options
Item Kuvunjika kwa Jumuiya ya Africa Mashariki(University of Dar es Salaam, 1977-08-05)Rais Nyerere alisema kuvunjika kwa Jumuiya ya Africa Mashariki lilikua ni pigo kubwa kwa watanzanikwa sababu kunarudisha nyuma juhudi za ukombozi.Item Higher learning istitution students' strikes(Uiversity of Dar es Salaam, 1995-09-18)The document is a combination of different newspapers reporting on different strikes caused by higher learning students due to different problems concern with their loans. Strikes on government refusal to increase their meal allowance and accommodation and asked the government to stop cost sharing.Item Mv Bukoba and Mv Spice(Uiversity of Dar es Salaam, 1996-05-21)The document is a combination of different newspapers reported on the marine accidents of the capsized ship (Mv Bukoba) in 1996 where by over 600 people died, and another accident is of Mv Spice Islanders in 2011 where by more than 200 people died. Mv Bukoba was sailing from Bukoba via Kemondo Bay in Lake Victoria with almost twice passengers capacity with unknown amount of cargo.Item Kuugua hadi kufa kwa baba wa Taifa(Uiversity of Dar es Salaam, 1999-10-14)Kifo cha baba wa Taifa na Mwasisi wa Taifa la Tanzania Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kilitokea nchini London mnamo tarehe 14/10/1999 saa 4:30 za Africa Mashariki katika hospitali ya Mtakatifu Thomas, London Uingereza alikokua amelazwa. Mwalimu Nyerere aligundulika kua na kansa ya damu . Mwalimu alizikwa nyumbani kwake Mwitonga kijijini Butihama, mkoa wa Mara, Wilayani Musoma.Item Mauaji Wilayani Kilosa(Uiversity of Dar es Salaam, 2000-10-27)Watu saba walifariki katika mapigano baina ya wafugaji na wakulima wilayani Kilosa mkoani Morogoro. Chanzo cha mapigano hayo kilikuwa ni ugomvi baina ya mfugaji mmoja wa jamii ya kimasai kupigwa risasi kichwani na mkulima aliyefahamika kama Hasssan Kirungi. Kabla ya mauaji wafugaji waliwashambulia wakulima na wanakijiji na baadaye kuchoma moto nyumba mbili za mwenyekiti wa kitongoji cha kikenge.Item Tanzania disasters 2000-2001(University of Dar es Salaam, 2000-12-02)Different newspapers wrote on disasters occurred in the country between 2000 and 2001. One of them is the Mwanza floods in which heavy rains pound in the city killing 24 and on the same case ten bodies were seen floating in Lake Victoria leaving hundreds homeless. In onother case, 13 people were missing in a small fishing village of Mtanga on the shores of Lake Tanganyika in Kigoma region following a landslide and flash floods which also buried 30 houses and caused a loss of 41million. In another case, President Benjamin Mkapa was saddened by the bloody clashes between pastoralist and farmers in Kilosa district, and the Rungwe tremor victims were disappointed by the Mbeya regional commissioner statement that their houses collapsed because of having weak foundations.Item Tanzania disasters 2000-2001(University of Dar es Salaam, 2000-12-02)Different newspapers wrote on disasters occurred in the country between 2000 and 2001. One of them is the Mwanza floods in which heavy rains pound in the city killing 24 and on the same case ten bodies were seen floating in Lake Victoria leaving hundreds homeless. In onother case, 13 people were missing in a small fishing village of Mtanga on the shores of Lake Tanganyika in Kigoma region following a landslide and flash floods which also buried 30 houses and caused a loss of 41million. In another case, President Benjamin Mkapa was saddened by the bloody clashes between pastoralist and farmers in Kilosa district, and the Rungwe tremor victims were disappointed by the Mbeya regional commissioner statement that their houses collapsed because of having weak foundations.Item Maadamano ya CUF.(University of Dar es Salaam, 2001-01-18)Magazeti mbalimbali yaliandika juu ya maadamano ya Chama Cha Wananchi CUF. Chama cha CUF kiliandaa maadamano ya amani yaliopangwa kufanyika kote nchini January 27 kabla ya kumalizika kwa muda wa siku 90 ambazo chama kilitaka uchaguzi wa Zanzibar uwe umerejea na kusema kua endapo uchaguzi hautaitishwa baada ya siku 90 basi kitakuwepo kisasi kwa sababu uchaguzi Zanzibar haukuwa wa huru na haki. Pamoja na Jeshi la police kuzuia maadamano hayo lakini mkuu wa CUF bwana Juma Duni Haji alisema maandamano yao lazima yafanyike January 27 2001Item Taarifa ya tume ya Rais ya uchuguzi wa matukio(University of Dar es Salaam, 2001-01-26)Tume iliyoundwa chini ya Rais Benjamin Mkapa kufanya uchungunzi kuhusu chanzo, matukio na athari za matukio ya tarehe 26 na 27 January 2001 ilibaini ya kwamba maandamano yalifanyika kabla ya tarehe hizo husika. Katika Uchungunzi uliofanyika ilibainika kwamba sababu na vyanzo vilivyosababisha matukio ya January 26 na 27 ni udhaifu wa tume ya uchaguzi Zanzibar (ZEC), uchaguzi haukuwa wa haki na huru, serikali kutoheshimu maamuzi ya wananchi , vyombo vya dola kujiingiza katika siasa nk. Tume iliafiki kuwa yaliyoelezwa ndio vyanzo halisi vya matukio hayo yaliyoleta athari mbalimbali ikiwemo vifo na uharibifu na upotevu wa mali.Item Cuf disaster: police killing in Zanzibar and Pemba(Uiversity of Dar es Salaam, 2001-01-28)Eleven people including a policeman were killed in Unguja and Pemba islands in running battles between the police and demonstrators believed to be supportes of the opposition Civil United Front (CUF). In that case, seven people were killed in Pemba and four in Unguja while 35 others were injured.Item Mgongano kwenye machimbo ya madini na sakata la bomoabomoa Ubungo na Kimara(University of Dar es Salaam, 2001-04-30)Mapigano yaliyotokea katika machimbo ya merereni na kusababisha kifo cha mchimbaji mdogo yalipelekea viongozi wa serikali (CCM) pamoja na wamiliki kuhojiwa na police. Katika tukio lingine la sakata la boaboa Ubungo na Kimara jijini Dar es Salaam lilisababisha taasisi mbalimbali kuwa na azimio la kuifikisha serikali mahakamani kufatia wakazi wa maeneo hayo kukosa makazi na kuwapelekea kuweka kambi nje ya ofisi za Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi (UNHCR) na waliweza kugoma kuondoka eneo hilo mpaka walipwe. fidia.Item Kifo cha Dk. Omary Ali Juma(Uiversity of Dar es Salaam, 2001-07-06)Magazeti mbalimbali yaliandika juu ya kifo cha aliyekua makamu wa Rais awamu ya tatu Dk. Omary Ali Juma aliyefariki ghafla kwa mshituko wa moyo na kusababisha kufutwa kwa ziara ya maonyesho ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam DITF.Item Privatazation and Industrial conflict in Tanzania(University of Dar es Salaam, 2002-04-16)In the year between 2002 and 2003 different government organization went under privatization. In 2003 Tanesco workers together resolved to stick to their guns to prevent the South African company, Net Group Solution from taking over the management of power utility company. On the other side of the coin, the National Microfinance Bank (NMB) workers resolved to take legal action to stop the privatization of the bank prior to payment of their terminal benefits, and in 2002 TBL buys KBL illegally.Item Ajali ya treni Dar-Mwanza(University of Dar es Salaam, 2002-06-24)Magazeti mbalimbali yaliandika juu ya ajali ya treni ya abiria ya reli ya kati iliyoua zaidi ya watu 100 (mia moja). Treni hiyo ilikua ikitokea jijini Dar es Salaam kwenda Mwanza na Kigoma na kupata ajali kati ya kijiji cha Igenndu na Msagali, Dodoma saa 5:00 asubuhi baada ya kurudi nyuma na kugongana na treni ya mizigo baada ya kushindwa kupanda kilima.Item Corruption in Tanzania: Killing knife of the national development(Uiversity of Dar es Salaam, 2003-01-22)Magazeti mbalimbali yaliadika juu ya mjadala aliouzua Dk. Kitine juu ya kushamiri kwa rushwa katika serikali na chama tawala. Mjadala huo ulizuka baada ya Jaji Joseph Warioba kutoa ripoti kuhusu rushwa kutofanyiwa kazi ipasavyo. Naye profesa Lipumba alisema katika mihadhara iliyofanyika nchini Swedeni, tathmini ya sera za maendeleo Tanzania, repoti ya rushwa ya jaji Warioba ilichambuliwa na kubaini kua ripoti hiyo iliwafatilia wala rushwa wadogo (Dagaa) na kuwaacha wala rushwa wakubwa (Papa).Item Miaka minne baada ya kifo cha Mwalimu Nyerere(University of Dar es Salaam, 2003-10-14)Katika kumbukizi za kifo cha baba wa Taifa Hayati Julius Nyerere alifariki 14.10.1999 katika hospitali ya Saint Thomas, London, Uingereza, mashirika mbalimbali, taasisi binafsi na serikali pamoja na Watanzania wote wanaendelea kumkumbuka kwa mengi katika miaka yote ya utawala wake. Mwalimu aliendelea kua kioo cha uongozi wa umma. Alisisitiza juu ya elimu kama njia ya kuwakomboa watanzania, kuleta uhuru wa Watanzania, kujenga umoja, upendo na mshikamano, kuleta muungano wa Tanganyika na Zanzibar nk.Item Education curriculum(University of Dar es Salaam, 2004-02-06)In 2004 curriculum IT studies was proposed to be introduced in all schools an in 2006 ICT was proposed to be part of secondary school curricula and the government was advised to set one curriculum for all institutions offering journalism and media studies in the country.Item Matokeo ya uchaguzi 2005(University of Dar es Salaam, 2005-07-18)Yasemavyo magazeti kuhusu mchakato wa kampeni na matokeo ya uchaguzi mkuu wa mwaka 5. Uchaguzi mkuu wa mwaka 2005 walipatikana wagombea wa urais kumi kati ya wagombea 13 wa vyama tofauti akiwemo mwanamama mmoja Anna Senkero kupitia tiketi ya PPT-Maendeleo.Item Matokeo ya uchaguzi November 2005(University of Dar es Salaam, 2005-11-30)Chama Cha Wananchi (CUF) kilinyakua majimbo yote 18 ya uchaguzi yaliyopo kisiwani Pemba wakati Chama Cha Mapinduzi ( CCM) kilipata ushindi katika kisiwa cha Unguja.Item Mchakato wa kampeni na matokeo ya uchaguzi mkuu 2005(University of Dar es Salaam, 2005-12-19)Magazeti mbalimbali yaliyoandikia mchakato mzima wa uchaguzi na matokeo mwaka 2005. Katika kampeni zake Kikwete alihaidi kupiga vita umasikini . Rais Kikwete alishinda uchaguzi kati ya wagombea 10 kutoka vyama vya siasa ambapo nafasi ya pili ilishikwa na mgombea wa CUF Professa Ibrahim Lipumba alipata kura 1, 317,220 sawa na asilimia 1.61 na mgombea kupitia tiketi ya CHADEMA Freeman Mbowe alishika nafasi ya tatu kwa kupata kura 671.780 sawa na asilimia 5.921, Augustino Mrema wa TLP alishika nafasi ya nne na kupata kura 84.131 bila asilimia hata 1. Vyama vingine ni NCCR Mageuzi (56,438), DP (39,990), NLD (21, 525), PPT-Maendeleo (18.741), Democrasia Makini (17,033) na SAU 16,380).