Taarifa ya tume ya Rais ya uchuguzi wa matukio

Date

2001-01-26

Authors

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

University of Dar es Salaam

Abstract

Tume iliyoundwa chini ya Rais Benjamin Mkapa kufanya uchungunzi kuhusu chanzo, matukio na athari za matukio ya tarehe 26 na 27 January 2001 ilibaini ya kwamba maandamano yalifanyika kabla ya tarehe hizo husika. Katika Uchungunzi uliofanyika ilibainika kwamba sababu na vyanzo vilivyosababisha matukio ya January 26 na 27 ni udhaifu wa tume ya uchaguzi Zanzibar (ZEC), uchaguzi haukuwa wa haki na huru, serikali kutoheshimu maamuzi ya wananchi , vyombo vya dola kujiingiza katika siasa nk. Tume iliafiki kuwa yaliyoelezwa ndio vyanzo halisi vya matukio hayo yaliyoleta athari mbalimbali ikiwemo vifo na uharibifu na upotevu wa mali.

Description

Available in print form, East Africana Collection, Dr. Wilbert Chagula Library, Newspaper Collection.

Keywords

ZEC, Rais Benjamin Mkapa

Citation

Taarifa ya tume ya Rais ya uchuguzi wa matukio (2001, Jauary 26). University of Dar es Salaam.

Collections