Miaka minne baada ya kifo cha Mwalimu Nyerere

Date

2003-10-14

Authors

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

University of Dar es Salaam

Abstract

Katika kumbukizi za kifo cha baba wa Taifa Hayati Julius Nyerere alifariki 14.10.1999 katika hospitali ya Saint Thomas, London, Uingereza, mashirika mbalimbali, taasisi binafsi na serikali pamoja na Watanzania wote wanaendelea kumkumbuka kwa mengi katika miaka yote ya utawala wake. Mwalimu aliendelea kua kioo cha uongozi wa umma. Alisisitiza juu ya elimu kama njia ya kuwakomboa watanzania, kuleta uhuru wa Watanzania, kujenga umoja, upendo na mshikamano, kuleta muungano wa Tanganyika na Zanzibar nk.

Description

Available in print form, East Africana Collection, Dr. Wilbert Chagula Library, Newspaper Collection.

Keywords

Mwalimu Nyerere, Saint Thomas, London, Uingereza

Citation

Miaka minne baada ya kifo cha Mwalimu Nyerere (2003, October 14). University of Dar es Salaam.

Collections