Mauaji Wilayani Kilosa

Date

2000-10-27

Authors

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

Uiversity of Dar es Salaam

Abstract

Watu saba walifariki katika mapigano baina ya wafugaji na wakulima wilayani Kilosa mkoani Morogoro. Chanzo cha mapigano hayo kilikuwa ni ugomvi baina ya mfugaji mmoja wa jamii ya kimasai kupigwa risasi kichwani na mkulima aliyefahamika kama Hasssan Kirungi. Kabla ya mauaji wafugaji waliwashambulia wakulima na wanakijiji na baadaye kuchoma moto nyumba mbili za mwenyekiti wa kitongoji cha kikenge.

Description

Available in print form, East Africana Collection, Dr. Wilbert Chagula Library, Newspaper Collection.

Keywords

Kilosa, Wakulima, Wafugaji, Morogoro, Yohana Leptruko, Hassan Kirungi

Citation

Mauaji Wilayani Kilosa (2000, October 27). University of Dar es Salaam.

Collections