Kuugua hadi kufa kwa baba wa Taifa

Date

1999-10-14

Authors

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

Uiversity of Dar es Salaam

Abstract

Kifo cha baba wa Taifa na Mwasisi wa Taifa la Tanzania Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kilitokea nchini London mnamo tarehe 14/10/1999 saa 4:30 za Africa Mashariki katika hospitali ya Mtakatifu Thomas, London Uingereza alikokua amelazwa. Mwalimu Nyerere aligundulika kua na kansa ya damu . Mwalimu alizikwa nyumbani kwake Mwitonga kijijini Butihama, mkoa wa Mara, Wilayani Musoma.

Description

Available in print form, East Africana Collection, Dr. Wilbert Chagula Library, Newspaper Collection.

Keywords

Mwalimu Nyerere, Rais Mkapa, London, Uingereza, Butihama, Mara, Musoma

Citation

Kuugua hadi kufa kwa baba wa Taif (1999, October 14). University of Dar es Salaam.

Collections