Tanzania Newspapers Articles Database
Permanent URI for this community
Browse
Browsing Tanzania Newspapers Articles Database by Title
Now showing 1 - 20 of 33
Results Per Page
Sort Options
Item Ajali ya treni Dar-Mwanza(University of Dar es Salaam, 2002-06-24)Magazeti mbalimbali yaliandika juu ya ajali ya treni ya abiria ya reli ya kati iliyoua zaidi ya watu 100 (mia moja). Treni hiyo ilikua ikitokea jijini Dar es Salaam kwenda Mwanza na Kigoma na kupata ajali kati ya kijiji cha Igenndu na Msagali, Dodoma saa 5:00 asubuhi baada ya kurudi nyuma na kugongana na treni ya mizigo baada ya kushindwa kupanda kilima.Item Albino killings in Tanzania(Uiversity of Dar es Salaam, 2008-10-20)The document contain different newspapers concerning the killings of albinos in Tanzania. The killing of albinos in Tanzania is being caused by poor beliefs among some tribes in the country, on the other aspect, albinos are being killed by people who think their body parts will make them rich. This situation led albinos to walk with fear on road with their saying that " albinos are money, millions of money in their bodies".Item Baraza la mawaziri Tanzania: Mabadiliko 1961-2006(University of Dar es Salaam, 2008-02-09)Magazeti mbalimbali yaongelea juu ya mawaziri wa Taganyika mwaka 1961-2006 chini ya Waziri mkuu Bw. Julius Kambarage Nyerere ambapo watanganyika waliamini maisha yao kua salama mikononi mwa mawaziri wao.Item Consititution review(University of Dar es Salaam, 2010-12-26)Yasemavyo magazeti kuhusu maoni mbalimbali ya marekebisho ya katiba mpya.Item Corruption in Tanzania: Killing knife of the national development(Uiversity of Dar es Salaam, 2003-01-22)Magazeti mbalimbali yaliadika juu ya mjadala aliouzua Dk. Kitine juu ya kushamiri kwa rushwa katika serikali na chama tawala. Mjadala huo ulizuka baada ya Jaji Joseph Warioba kutoa ripoti kuhusu rushwa kutofanyiwa kazi ipasavyo. Naye profesa Lipumba alisema katika mihadhara iliyofanyika nchini Swedeni, tathmini ya sera za maendeleo Tanzania, repoti ya rushwa ya jaji Warioba ilichambuliwa na kubaini kua ripoti hiyo iliwafatilia wala rushwa wadogo (Dagaa) na kuwaacha wala rushwa wakubwa (Papa).Item Cuf disaster: police killing in Zanzibar and Pemba(Uiversity of Dar es Salaam, 2001-01-28)Eleven people including a policeman were killed in Unguja and Pemba islands in running battles between the police and demonstrators believed to be supportes of the opposition Civil United Front (CUF). In that case, seven people were killed in Pemba and four in Unguja while 35 others were injured.Item Education curriculum(University of Dar es Salaam, 2004-02-06)In 2004 curriculum IT studies was proposed to be introduced in all schools an in 2006 ICT was proposed to be part of secondary school curricula and the government was advised to set one curriculum for all institutions offering journalism and media studies in the country.Item Gender and Education(Uiversity of Dar es Salaam, 2007-04-19)Magazeti mbalimbali yaelezea swala zima la elimu kwa watoto wa kike zikiwemo taarifa za ufaulu, utoro shuleni, mimba mashuleni, wazazi wanaoozesha wanafunzi, simu za mkononi mashuleni, hatima ya mimba kwa wanafunzi mashuleni pamoja na kuwageuza walinzi wawapo shuleni.Item Higher learning istitution students' strikes(Uiversity of Dar es Salaam, 1995-09-18)The document is a combination of different newspapers reporting on different strikes caused by higher learning students due to different problems concern with their loans. Strikes on government refusal to increase their meal allowance and accommodation and asked the government to stop cost sharing.Item Kampeni za uchaguzi mkuu(University of Dar es Salaam, 2010-09-19)Kampeni za uchaguzi mkuu mwaka 2010 mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jakaya Kikwete alihaidi kuinua hadhi ya hospitali saba nchini na kuzifanya za rufani na zile za rufani kupandishwa kuwa hospitali maalumu kutibu magonjwa yaliyoshindikana katika hospitali za rufani, wakati huo huo mgombea mwenza kupitia NCCR mageuzi Bw. Ali Omar alihaidi kupunguza kansa Zanzibar.Item Kifo cha Dk. Omary Ali Juma(Uiversity of Dar es Salaam, 2001-07-06)Magazeti mbalimbali yaliandika juu ya kifo cha aliyekua makamu wa Rais awamu ya tatu Dk. Omary Ali Juma aliyefariki ghafla kwa mshituko wa moyo na kusababisha kufutwa kwa ziara ya maonyesho ya biashara ya kimataifa ya Dar es Salaam DITF.Item Kuugua hadi kufa kwa baba wa Taifa(Uiversity of Dar es Salaam, 1999-10-14)Kifo cha baba wa Taifa na Mwasisi wa Taifa la Tanzania Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kilitokea nchini London mnamo tarehe 14/10/1999 saa 4:30 za Africa Mashariki katika hospitali ya Mtakatifu Thomas, London Uingereza alikokua amelazwa. Mwalimu Nyerere aligundulika kua na kansa ya damu . Mwalimu alizikwa nyumbani kwake Mwitonga kijijini Butihama, mkoa wa Mara, Wilayani Musoma.Item Kuvunjika kwa Jumuiya ya Africa Mashariki(University of Dar es Salaam, 1977-08-05)Rais Nyerere alisema kuvunjika kwa Jumuiya ya Africa Mashariki lilikua ni pigo kubwa kwa watanzanikwa sababu kunarudisha nyuma juhudi za ukombozi.Item Maadamano ya CUF.(University of Dar es Salaam, 2001-01-18)Magazeti mbalimbali yaliandika juu ya maadamano ya Chama Cha Wananchi CUF. Chama cha CUF kiliandaa maadamano ya amani yaliopangwa kufanyika kote nchini January 27 kabla ya kumalizika kwa muda wa siku 90 ambazo chama kilitaka uchaguzi wa Zanzibar uwe umerejea na kusema kua endapo uchaguzi hautaitishwa baada ya siku 90 basi kitakuwepo kisasi kwa sababu uchaguzi Zanzibar haukuwa wa huru na haki. Pamoja na Jeshi la police kuzuia maadamano hayo lakini mkuu wa CUF bwana Juma Duni Haji alisema maandamano yao lazima yafanyike January 27 2001Item Matatizo yanayokabili mashirika ya kiuchumi Tanzania(Uiversity of Dar es Salaam, 2008-12-12)Mashirika ya kiuchumi Tanzania ATC/ATCL, TRC/TRL na Bandari yalitakiwa kufanyiwa uchunguzi wa ndani zaidi baada ya kushindwa kusimamia shughuli zake kikamilifu. Shirika la ndege Tanzania (ATC) lilisimamishwa na kusababisha hasara ya sh milioni 300 kwa wiki. Shirika hili lilisimamishiwa leseni yake kutoa huduma ndani na nje ya nchi hali iliyosababishwa na uzembe wa uongozi wa shirika hilo katika utekelezaji wa majukumu yao. Kwa upande wa TRC serikali ilisimamisha safari za treni ya abiria ya reli ya kati ili kuokoa maafa makubwa zaidi kufatia ajali mbaya ya treni iliyotokea Dodoma April 2002 na kuua zaidi ya abiria 280 na wengine 1000kujeruhiwa.Item Matokeo ya uchaguzi 2005(University of Dar es Salaam, 2005-07-18)Yasemavyo magazeti kuhusu mchakato wa kampeni na matokeo ya uchaguzi mkuu wa mwaka 5. Uchaguzi mkuu wa mwaka 2005 walipatikana wagombea wa urais kumi kati ya wagombea 13 wa vyama tofauti akiwemo mwanamama mmoja Anna Senkero kupitia tiketi ya PPT-Maendeleo.Item Matokeo ya uchaguzi November 2005(University of Dar es Salaam, 2005-11-30)Chama Cha Wananchi (CUF) kilinyakua majimbo yote 18 ya uchaguzi yaliyopo kisiwani Pemba wakati Chama Cha Mapinduzi ( CCM) kilipata ushindi katika kisiwa cha Unguja.Item Mauaji Wilayani Kilosa(Uiversity of Dar es Salaam, 2000-10-27)Watu saba walifariki katika mapigano baina ya wafugaji na wakulima wilayani Kilosa mkoani Morogoro. Chanzo cha mapigano hayo kilikuwa ni ugomvi baina ya mfugaji mmoja wa jamii ya kimasai kupigwa risasi kichwani na mkulima aliyefahamika kama Hasssan Kirungi. Kabla ya mauaji wafugaji waliwashambulia wakulima na wanakijiji na baadaye kuchoma moto nyumba mbili za mwenyekiti wa kitongoji cha kikenge.Item Mchakato wa kampeni na matokeo ya uchaguzi mkuu 2005(University of Dar es Salaam, 2005-12-19)Magazeti mbalimbali yaliyoandikia mchakato mzima wa uchaguzi na matokeo mwaka 2005. Katika kampeni zake Kikwete alihaidi kupiga vita umasikini . Rais Kikwete alishinda uchaguzi kati ya wagombea 10 kutoka vyama vya siasa ambapo nafasi ya pili ilishikwa na mgombea wa CUF Professa Ibrahim Lipumba alipata kura 1, 317,220 sawa na asilimia 1.61 na mgombea kupitia tiketi ya CHADEMA Freeman Mbowe alishika nafasi ya tatu kwa kupata kura 671.780 sawa na asilimia 5.921, Augustino Mrema wa TLP alishika nafasi ya nne na kupata kura 84.131 bila asilimia hata 1. Vyama vingine ni NCCR Mageuzi (56,438), DP (39,990), NLD (21, 525), PPT-Maendeleo (18.741), Democrasia Makini (17,033) na SAU 16,380).Item Mchakato wa kampeni na matokeo ya uchaguzi mkuu 2005(Uiversity of Dar es Salaam, 2005-12-19)Magazeti mbalimbali yaliyoandikia mchakato mzima wa uchaguzi na matokeo mwaka 2005. Katika kampeni zake Kikwete alihaidi kupiga vita umasikini . Rais Kikwete alishinda uchaguzi kati ya wagombea 10 kutoka vyama vya siasa ambapo nafasi ya pili ilishikwa na mgombea wa CUF Professa Ibrahim Lipumba alipata kura 1, 317,220 sawa na asilimia 1.61 na mgombea kupitia tiketi ya CHADEMA Freeman Mbowe alishika nafasi ya tatu kwa kupata kura 671.780 sawa na asilimia 5.921, Augustino Mrema wa TLP alishika nafasi ya nne na kupata kura 84.131 bila asilimia hata 1. Vyama vingine ni NCCR Mageuzi (56,438), DP (39,990), NLD (21, 525), PPT-Maendeleo (18.741), Democrasia Makini (17,033) na SAU 16,380).