Mgongano kwenye machimbo ya madini na sakata la bomoabomoa Ubungo na Kimara

Date

2001-04-30

Authors

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

University of Dar es Salaam

Abstract

Mapigano yaliyotokea katika machimbo ya merereni na kusababisha kifo cha mchimbaji mdogo yalipelekea viongozi wa serikali (CCM) pamoja na wamiliki kuhojiwa na police. Katika tukio lingine la sakata la boaboa Ubungo na Kimara jijini Dar es Salaam lilisababisha taasisi mbalimbali kuwa na azimio la kuifikisha serikali mahakamani kufatia wakazi wa maeneo hayo kukosa makazi na kuwapelekea kuweka kambi nje ya ofisi za Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi (UNHCR) na waliweza kugoma kuondoka eneo hilo mpaka walipwe. fidia.

Description

Available in print form, East Africana Collection, Dr. Wilbert Chagula Library, Newspaper Collection.

Keywords

Mererani, CCM, Ubungo, Kimara, UNHCR

Citation

Mgongano kwenye machimbo ya madini na sakata la boaboa Ubungo na Kimara (2001, April 30). University of Dar es Salaam.

Collections