Ajali ya treni Dar-Mwanza

Date

2002-06-24

Authors

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

University of Dar es Salaam

Abstract

Magazeti mbalimbali yaliandika juu ya ajali ya treni ya abiria ya reli ya kati iliyoua zaidi ya watu 100 (mia moja). Treni hiyo ilikua ikitokea jijini Dar es Salaam kwenda Mwanza na Kigoma na kupata ajali kati ya kijiji cha Igenndu na Msagali, Dodoma saa 5:00 asubuhi baada ya kurudi nyuma na kugongana na treni ya mizigo baada ya kushindwa kupanda kilima.

Description

Available in print form, East Africana Collection, Dr. Wilbert Chagula Library, Newspaper Collection.

Keywords

Dar es Salaam, Dodoma, Igendu, Msagali, Treni

Citation

Ajali ya treni Dar-Mwanza (2002, June 24). University of Dar es Salaam.

Collections