Matatizo yanayokabili mashirika ya kiuchumi Tanzania

Loading...
Thumbnail Image
Date
2008-12-12
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
Uiversity of Dar es Salaam
Abstract
Mashirika ya kiuchumi Tanzania ATC/ATCL, TRC/TRL na Bandari yalitakiwa kufanyiwa uchunguzi wa ndani zaidi baada ya kushindwa kusimamia shughuli zake kikamilifu. Shirika la ndege Tanzania (ATC) lilisimamishwa na kusababisha hasara ya sh milioni 300 kwa wiki. Shirika hili lilisimamishiwa leseni yake kutoa huduma ndani na nje ya nchi hali iliyosababishwa na uzembe wa uongozi wa shirika hilo katika utekelezaji wa majukumu yao. Kwa upande wa TRC serikali ilisimamisha safari za treni ya abiria ya reli ya kati ili kuokoa maafa makubwa zaidi kufatia ajali mbaya ya treni iliyotokea Dodoma April 2002 na kuua zaidi ya abiria 280 na wengine 1000kujeruhiwa.
Description
Available in print form, East Africana Collection, Dr. Wilbert Chagula Library, Newspaper Collection.
Keywords
ATC, ATCL, TRC, TRL, Bandari
Citation
Matatizo yanayokabili mashirika ya kiuchumi Tanzania (2008, December 12). University of Dar es Salaam.