Kampeni za uchaguzi mkuu

Date

2010-09-19

Authors

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

University of Dar es Salaam

Abstract

Kampeni za uchaguzi mkuu mwaka 2010 mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jakaya Kikwete alihaidi kuinua hadhi ya hospitali saba nchini na kuzifanya za rufani na zile za rufani kupandishwa kuwa hospitali maalumu kutibu magonjwa yaliyoshindikana katika hospitali za rufani, wakati huo huo mgombea mwenza kupitia NCCR mageuzi Bw. Ali Omar alihaidi kupunguza kansa Zanzibar.

Description

Available in print form, East Africana Collection, Dr. Wilbert Chagula Library, Newspaper Collection.

Keywords

CCM, NCCR, Jakaya Kikwete, Zanzibar

Citation

Kampeni za uchaguzi mkuu ( 2010, September 19 ).University of Dar es Salaam.

Collections