Tanzania Newspapers Articles Database
Permanent URI for this community
Browse
Browsing Tanzania Newspapers Articles Database by Subject "CCM"
Now showing 1 - 6 of 6
Results Per Page
Sort Options
Item Kampeni za uchaguzi mkuu(University of Dar es Salaam, 2010-09-19)Kampeni za uchaguzi mkuu mwaka 2010 mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jakaya Kikwete alihaidi kuinua hadhi ya hospitali saba nchini na kuzifanya za rufani na zile za rufani kupandishwa kuwa hospitali maalumu kutibu magonjwa yaliyoshindikana katika hospitali za rufani, wakati huo huo mgombea mwenza kupitia NCCR mageuzi Bw. Ali Omar alihaidi kupunguza kansa Zanzibar.Item Matokeo ya uchaguzi November 2005(University of Dar es Salaam, 2005-11-30)Chama Cha Wananchi (CUF) kilinyakua majimbo yote 18 ya uchaguzi yaliyopo kisiwani Pemba wakati Chama Cha Mapinduzi ( CCM) kilipata ushindi katika kisiwa cha Unguja.Item Mchakato wa kampeni na matokeo ya uchaguzi mkuu 2005(University of Dar es Salaam, 2005-12-19)Magazeti mbalimbali yaliyoandikia mchakato mzima wa uchaguzi na matokeo mwaka 2005. Katika kampeni zake Kikwete alihaidi kupiga vita umasikini . Rais Kikwete alishinda uchaguzi kati ya wagombea 10 kutoka vyama vya siasa ambapo nafasi ya pili ilishikwa na mgombea wa CUF Professa Ibrahim Lipumba alipata kura 1, 317,220 sawa na asilimia 1.61 na mgombea kupitia tiketi ya CHADEMA Freeman Mbowe alishika nafasi ya tatu kwa kupata kura 671.780 sawa na asilimia 5.921, Augustino Mrema wa TLP alishika nafasi ya nne na kupata kura 84.131 bila asilimia hata 1. Vyama vingine ni NCCR Mageuzi (56,438), DP (39,990), NLD (21, 525), PPT-Maendeleo (18.741), Democrasia Makini (17,033) na SAU 16,380).Item Mchakato wa kampeni na matokeo ya uchaguzi mkuu 2005(Uiversity of Dar es Salaam, 2005-12-19)Magazeti mbalimbali yaliyoandikia mchakato mzima wa uchaguzi na matokeo mwaka 2005. Katika kampeni zake Kikwete alihaidi kupiga vita umasikini . Rais Kikwete alishinda uchaguzi kati ya wagombea 10 kutoka vyama vya siasa ambapo nafasi ya pili ilishikwa na mgombea wa CUF Professa Ibrahim Lipumba alipata kura 1, 317,220 sawa na asilimia 1.61 na mgombea kupitia tiketi ya CHADEMA Freeman Mbowe alishika nafasi ya tatu kwa kupata kura 671.780 sawa na asilimia 5.921, Augustino Mrema wa TLP alishika nafasi ya nne na kupata kura 84.131 bila asilimia hata 1. Vyama vingine ni NCCR Mageuzi (56,438), DP (39,990), NLD (21, 525), PPT-Maendeleo (18.741), Democrasia Makini (17,033) na SAU 16,380).Item Mgongano kwenye machimbo ya madini na sakata la bomoabomoa Ubungo na Kimara(University of Dar es Salaam, 2001-04-30)Mapigano yaliyotokea katika machimbo ya merereni na kusababisha kifo cha mchimbaji mdogo yalipelekea viongozi wa serikali (CCM) pamoja na wamiliki kuhojiwa na police. Katika tukio lingine la sakata la boaboa Ubungo na Kimara jijini Dar es Salaam lilisababisha taasisi mbalimbali kuwa na azimio la kuifikisha serikali mahakamani kufatia wakazi wa maeneo hayo kukosa makazi na kuwapelekea kuweka kambi nje ya ofisi za Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi (UNHCR) na waliweza kugoma kuondoka eneo hilo mpaka walipwe. fidia.Item Uchaguzi mkuu 2010.(Uiversity of Dar es Salaam, 2010-10-01)Magazeti mbalimbali yaliandika juu ya uchaguzi mkuu wa ubunge, udiwani na urais mwaka 2010.Wagombea kupitia vyama vyao walitumia kila mbinu kuwashawishi wapiga kura. Mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi Rais Jakaya Kikwete alimwaga ahadi zake nzito ikiwemo ya kujenga barabara hadi Kigoma yenye urefu wa kilometa 7000. Naye Lipumba alihaidi kujenga kiwanda cha matunda Kagera.