Historical resources
Permanent URI for this collection
Browse
Recent Submissions
Item An open letter to Comrade Ngombale Mwiru(University of Dar es Salaam, 1972) TANU Youth leagueA Comrade Ngombale Mwiru From Comrade S.I.HADJIItem Twenty years with education for self-reliance(University of Dar es Salaam, 1990) Youth OrganisationIt is not the fact that the pupils learn how to rule there, nor the fact that it tends to produce gifted men, which gives a particular the types of schools its social character. This social character is determined by the fact that easch social tpo perpertuate a specific traditional function, ruling or subordinate.Item Ulinzi wakulima wa mapinduzi serikali za kijeshi –Afrika operesheni Chunya Kiwanda cha kandambili Kiswahili mashairi(University of Dar es Salaam, 1973) Umoja wa vijana wa TANUMapinduzi hayana njia moja. Lengo likiwa la kimapinduzi na njia yake kufikia kadhalika, matokeo huwa ni ya kimapinduzi.Item Sauti ya Siti : Women and law(TAMWA/CHAWAHATA, 2000) TAMWA, CHAWAHATAIn any given society, a legal system is a reflection of development of that society. In Tanzania we have enhanced laws concerning women rights. However, the practice is lagging behind.Item Sauti ya Siti : Kazi ya nyumbani ni tija(TAMWA/CHAWAHATA, 1998) TAMWA, CHAWAHATAHakuna kitu kinachoridhisha zaidi kwa mwanamke wa kitanzania, awe anaishi kijijini au mjini kama kusifiwa kwa kazi yake. Kazi zenyewe ni zile ndogo ndogo ambazo mwanamke huzifanya nyumbani na nje ya nyumba yake ili kuiwezesha familia kuishi maisha mazuri.Item Sauti ya Siti : culture(TAMWA, 1991) TAMWA, CHAWAHATAAfrican women including Tanzanian women have been struggling to retain the African culture the importance aspects of our rich cultural heritage such as the popular communication media songs, poems, dances, drama, music, crafts and others such which has been destroyed by colonialism.Item Sauti ya Siti : Rasimu ya Ardhi (1997) itamnufaisha mwanamke wa Kitanzania?(TAMWA/CHAWAHATA, 1997) TAMWA, CHAWAHATARasimu ya ardhi iliyotolewa mwaka 1997 ilenge kumufaisha mwanamke wa kitanzania kuhusu umiliki wa ardhi kwani wanawake ndiyo wazalishaji wakubwa katika familia kupitia ardhi.Item Miaka 20 ya elimu ya watu wazima ; kufuta ujinga sasa tunataka haki na usawa(TAMWA, 1990) TAMWA, CHAWAHATATanzania ni inchi inayoongoza baraza africa kwani imeanikwa kuwa na asilimia 85 ya watu wanao jua kusoma na kuandika. Hii inamaana kuwa wazima walio wengi wanajua kusoma ,kuandika, na kufanya hesabu rahisi.Item The President Nyerere ‘s speech as chancellor at the inauguration of the University of Dar es Salaam(University college, University of Dar es salaam, 1970) University of Dar es salaamA University is an institution of higher learning a place where people’s minds are trained for clear thinking, for independent thinking for analysis, and for problem solving at the highest level.Item The organization of the University research in Developing country(University of Dar es salaam, 1969) University of Dar es salaamThe college Dar es salaam inaugural lecture series about to be viable and justifiable a university system in a developing country must be pertinent to its locality and must progressively become a natural and accepted factor/in its particular environment.Item Professorial inaugural lecture series(University of Dar es salaam, 1999) University of Dar es salaamThis lecture explores, on the one hand how telematics has impacted control processes thus revolutionizing productivity and giving rise to possibilities of a global computer –integrated- manufacturing environment.Item Sauti ya Siti : Tanzania women`s Magazine : Rejoice(TAMWA, 1989) TAMWASongs and dance are two medium of common that women can use to express themselves. indeed the poetry of movement and the lyrics and lilting melodies of many of our songs have perfect vehicles for putting forward our thoughts, aspirations, trumphs,sadness and anger. on the other hand, songs and dances, women can have a certain degree of power their bodies and their thoughtsItem Mwanga: Gazeti la umoja wa vijana(U.V.T) Tanzania: Toleo maalum la mkumtano mkuu wa jumuiya ya vijana Tanzania(U.V.T, 1989) U.V.T, Umoja wa Vijana TanzaniaJukumu la vijana katika Taifa ni kulinda na kutetea siasa, uhuru, muungano na ujenzi wa uchumi.Item Jumuiya ya wanawake Tanzania : Taarifa ya U.W.T kwa kipindi cha 1977/1982(U.W.T, 1982) Jumuiya ya wanawake Tanzania, U.W.TTaarifa ya U.W.T kwa miaka mitano (1977/1982) inaonesha kuwa hali ya maendeleo ya vikundi vya wanawake haikuwa nzuri. Hii ilitokana na vita vya nduli Idd Amin, kucheleweshwa kwa uteuzi wa makatibu wa wilaya,mikoa na taifa pamoja na mlipuko wa maradhi ya kipindupindu.Item Sauti ya Siti : gazeti la wanawake Tanzania(TAMWA/CHAWAHATA, 1988) TAMWA, CHAWAHATAJina la gazeti hili sauti ya Siti limetokana na na jina la mwimbaji binti Saed ambaye alikuwa miongoni mwa wanawake wa kwanza waliojitokeza katika usani nchini. Chama cha waandishi wa habari wanawake Tanzania (CHAWAHATA) kiliamua kumpa wasifu mwanamke huyu kwa sababu katika kipindi cha nyuma wasanii wanawake walikuwa hawapewi wadhifa unaowastahili. Neno Siti lina maana mwanamke, na sauti ya Siti lina maana sauti ya mwanamke. Wanawake lazima wapewe sauti ya kusema wanachotaka, na sauti mojawapo ni hili gazetiItem Sauti ya Siti : gazeti la wanawake Tanzania(TAMWA/CHAWAHATA, 1992) TAMWA, CHAWAHATASiku ya mtoto wa Afrika ni siku maalum iliyoteuliwa na umoja wa nchi huru za Afrika (OAU) kuadhimisha haki ya mtoto wa Afrika. Japo ni siku ya furaha kwa watoto lakini furahi hii si kwa watoto wote wa Afrika kwani watoto wengi wa Afrika bado wanakabiliwa na changamoto nyingi katika kufurahia maisha yao, changamoto hizi ni pamoja na vita, maradhi, njaa nk...Item An open letter to Comrade Ngombale Mwiru(University of Dar es Salaam, 1972) TANU youth leagueAn Comrade Ngombale Mwiru From Comrade S.I.HADJI East Africa community , Arusha.Item The myth appropriate technology rural development strategies(University of Dar es Salaam, 1980) Youth Organisationin this issues, we continue with reviews at a theoretical level of questions relating to national development and national independence and liberation struggles.Item Swedish imperialism in Africa(University of Dar es Salaam, 1972) TANU youth leagueIll –trained and confused arm-men.(idd Amin Dada is a good example) the aura of the ‘the party’ with its millions of staunch followers withers away within hours when the neo-colonial army strikes.Item Operation Dodoma (part II)(University of Dar es Salaam, 1972) TANU youth leagueThe historically relative nature of the distinction between mass consumption goods and luxury goods can also been seen here clearly.