Sauti ya Siti : gazeti la wanawake Tanzania

Loading...
Thumbnail Image
Date
1988
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
TAMWA/CHAWAHATA
Abstract
Jina la gazeti hili sauti ya Siti limetokana na na jina la mwimbaji binti Saed ambaye alikuwa miongoni mwa wanawake wa kwanza waliojitokeza katika usani nchini. Chama cha waandishi wa habari wanawake Tanzania (CHAWAHATA) kiliamua kumpa wasifu mwanamke huyu kwa sababu katika kipindi cha nyuma wasanii wanawake walikuwa hawapewi wadhifa unaowastahili. Neno Siti lina maana mwanamke, na sauti ya Siti lina maana sauti ya mwanamke. Wanawake lazima wapewe sauti ya kusema wanachotaka, na sauti mojawapo ni hili gazeti
Description
Available in print format
Keywords
Uchungu wa mwana, Sheria ya ndoa, Wanawake wa Kimasai, Mahari ni mzigo kwa wanaume na wanawake
Citation
TAMWA/CHAWAHATA, (1988) Sauti ya Siti : gazeti la wanawake Tanzania: Mama na mwana, Gazeti, University of Dar es Salaam, Dar es Salaam.