Sauti ya Siti : gazeti la wanawake Tanzania

Date

1992

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

TAMWA/CHAWAHATA

Abstract

Siku ya mtoto wa Afrika ni siku maalum iliyoteuliwa na umoja wa nchi huru za Afrika (OAU) kuadhimisha haki ya mtoto wa Afrika. Japo ni siku ya furaha kwa watoto lakini furahi hii si kwa watoto wote wa Afrika kwani watoto wengi wa Afrika bado wanakabiliwa na changamoto nyingi katika kufurahia maisha yao, changamoto hizi ni pamoja na vita, maradhi, njaa nk...

Description

Available in print format at University of Dar es Salaam Archive

Keywords

Haki za watoto, Watoto ni taifa la kesho, Watoto wa mitaani

Citation

TAMWA/CHAWAHATA, (1992) Sauti ya Siti : gazeti la wanawake Tanzania, Gazeti, University of Dar es Salaam, Dar es Salaam.