Sauti ya Siti : Kazi ya nyumbani ni tija

Abstract

Hakuna kitu kinachoridhisha zaidi kwa mwanamke wa kitanzania, awe anaishi kijijini au mjini kama kusifiwa kwa kazi yake. Kazi zenyewe ni zile ndogo ndogo ambazo mwanamke huzifanya nyumbani na nje ya nyumba yake ili kuiwezesha familia kuishi maisha mazuri.

Description

available in print

Keywords

Kazi za nyumbani, Kutunza nyumba, Kulea watoto, sheria ya ndoa, Wanawake na teknolojia

Citation

TAMWA/CHAWAHATA, (1998) Sauti ya Siti : kazi ya nyumbani ni tija, University of Dar es Salaam, Dar es Salaam.