Jumuiya ya wanawake Tanzania : Taarifa ya U.W.T kwa kipindi cha 1977/1982

Abstract

Taarifa ya U.W.T kwa miaka mitano (1977/1982) inaonesha kuwa hali ya maendeleo ya vikundi vya wanawake haikuwa nzuri. Hii ilitokana na vita vya nduli Idd Amin, kucheleweshwa kwa uteuzi wa makatibu wa wilaya,mikoa na taifa pamoja na mlipuko wa maradhi ya kipindupindu.

Description

Available in print format

Keywords

Watumishi U.W.T, Wanachama U.W.T, Misaada, Uchumi na mipango, Semina na mafunzo, Madaraka, Ziara za viongozi, Wageni, Matatizo

Citation

U.W.T (1982). Jumuiya ya wanawake Tanzania : Taarifa ya U.W.T kwa kipindi cha 1977/1982