Tanzania Newspapers Articles Database
Permanent URI for this community
Browse
Browsing Tanzania Newspapers Articles Database by Subject "CUF"
Now showing 1 - 5 of 5
Results Per Page
Sort Options
Item Cuf disaster: police killing in Zanzibar and Pemba(Uiversity of Dar es Salaam, 2001-01-28)Eleven people including a policeman were killed in Unguja and Pemba islands in running battles between the police and demonstrators believed to be supportes of the opposition Civil United Front (CUF). In that case, seven people were killed in Pemba and four in Unguja while 35 others were injured.Item Maadamano ya CUF.(University of Dar es Salaam, 2001-01-18)Magazeti mbalimbali yaliandika juu ya maadamano ya Chama Cha Wananchi CUF. Chama cha CUF kiliandaa maadamano ya amani yaliopangwa kufanyika kote nchini January 27 kabla ya kumalizika kwa muda wa siku 90 ambazo chama kilitaka uchaguzi wa Zanzibar uwe umerejea na kusema kua endapo uchaguzi hautaitishwa baada ya siku 90 basi kitakuwepo kisasi kwa sababu uchaguzi Zanzibar haukuwa wa huru na haki. Pamoja na Jeshi la police kuzuia maadamano hayo lakini mkuu wa CUF bwana Juma Duni Haji alisema maandamano yao lazima yafanyike January 27 2001Item Matokeo ya uchaguzi November 2005(University of Dar es Salaam, 2005-11-30)Chama Cha Wananchi (CUF) kilinyakua majimbo yote 18 ya uchaguzi yaliyopo kisiwani Pemba wakati Chama Cha Mapinduzi ( CCM) kilipata ushindi katika kisiwa cha Unguja.Item Mchakato wa kampeni na matokeo ya uchaguzi mkuu 2005(University of Dar es Salaam, 2005-12-19)Magazeti mbalimbali yaliyoandikia mchakato mzima wa uchaguzi na matokeo mwaka 2005. Katika kampeni zake Kikwete alihaidi kupiga vita umasikini . Rais Kikwete alishinda uchaguzi kati ya wagombea 10 kutoka vyama vya siasa ambapo nafasi ya pili ilishikwa na mgombea wa CUF Professa Ibrahim Lipumba alipata kura 1, 317,220 sawa na asilimia 1.61 na mgombea kupitia tiketi ya CHADEMA Freeman Mbowe alishika nafasi ya tatu kwa kupata kura 671.780 sawa na asilimia 5.921, Augustino Mrema wa TLP alishika nafasi ya nne na kupata kura 84.131 bila asilimia hata 1. Vyama vingine ni NCCR Mageuzi (56,438), DP (39,990), NLD (21, 525), PPT-Maendeleo (18.741), Democrasia Makini (17,033) na SAU 16,380).Item Mchakato wa kampeni na matokeo ya uchaguzi mkuu 2005(Uiversity of Dar es Salaam, 2005-12-19)Magazeti mbalimbali yaliyoandikia mchakato mzima wa uchaguzi na matokeo mwaka 2005. Katika kampeni zake Kikwete alihaidi kupiga vita umasikini . Rais Kikwete alishinda uchaguzi kati ya wagombea 10 kutoka vyama vya siasa ambapo nafasi ya pili ilishikwa na mgombea wa CUF Professa Ibrahim Lipumba alipata kura 1, 317,220 sawa na asilimia 1.61 na mgombea kupitia tiketi ya CHADEMA Freeman Mbowe alishika nafasi ya tatu kwa kupata kura 671.780 sawa na asilimia 5.921, Augustino Mrema wa TLP alishika nafasi ya nne na kupata kura 84.131 bila asilimia hata 1. Vyama vingine ni NCCR Mageuzi (56,438), DP (39,990), NLD (21, 525), PPT-Maendeleo (18.741), Democrasia Makini (17,033) na SAU 16,380).