Historical resources
Permanent URI for this collection
Browse
Browsing Historical resources by Author "TAMWA, CHAWAHATA"
Now showing 1 - 7 of 7
Results Per Page
Sort Options
Item Miaka 20 ya elimu ya watu wazima ; kufuta ujinga sasa tunataka haki na usawa(TAMWA, 1990) TAMWA, CHAWAHATATanzania ni inchi inayoongoza baraza africa kwani imeanikwa kuwa na asilimia 85 ya watu wanao jua kusoma na kuandika. Hii inamaana kuwa wazima walio wengi wanajua kusoma ,kuandika, na kufanya hesabu rahisi.Item Sauti ya Siti : culture(TAMWA, 1991) TAMWA, CHAWAHATAAfrican women including Tanzanian women have been struggling to retain the African culture the importance aspects of our rich cultural heritage such as the popular communication media songs, poems, dances, drama, music, crafts and others such which has been destroyed by colonialism.Item Sauti ya Siti : gazeti la wanawake Tanzania(TAMWA/CHAWAHATA, 1988) TAMWA, CHAWAHATAJina la gazeti hili sauti ya Siti limetokana na na jina la mwimbaji binti Saed ambaye alikuwa miongoni mwa wanawake wa kwanza waliojitokeza katika usani nchini. Chama cha waandishi wa habari wanawake Tanzania (CHAWAHATA) kiliamua kumpa wasifu mwanamke huyu kwa sababu katika kipindi cha nyuma wasanii wanawake walikuwa hawapewi wadhifa unaowastahili. Neno Siti lina maana mwanamke, na sauti ya Siti lina maana sauti ya mwanamke. Wanawake lazima wapewe sauti ya kusema wanachotaka, na sauti mojawapo ni hili gazetiItem Sauti ya Siti : gazeti la wanawake Tanzania(TAMWA/CHAWAHATA, 1992) TAMWA, CHAWAHATASiku ya mtoto wa Afrika ni siku maalum iliyoteuliwa na umoja wa nchi huru za Afrika (OAU) kuadhimisha haki ya mtoto wa Afrika. Japo ni siku ya furaha kwa watoto lakini furahi hii si kwa watoto wote wa Afrika kwani watoto wengi wa Afrika bado wanakabiliwa na changamoto nyingi katika kufurahia maisha yao, changamoto hizi ni pamoja na vita, maradhi, njaa nk...Item Sauti ya Siti : Kazi ya nyumbani ni tija(TAMWA/CHAWAHATA, 1998) TAMWA, CHAWAHATAHakuna kitu kinachoridhisha zaidi kwa mwanamke wa kitanzania, awe anaishi kijijini au mjini kama kusifiwa kwa kazi yake. Kazi zenyewe ni zile ndogo ndogo ambazo mwanamke huzifanya nyumbani na nje ya nyumba yake ili kuiwezesha familia kuishi maisha mazuri.Item Sauti ya Siti : Rasimu ya Ardhi (1997) itamnufaisha mwanamke wa Kitanzania?(TAMWA/CHAWAHATA, 1997) TAMWA, CHAWAHATARasimu ya ardhi iliyotolewa mwaka 1997 ilenge kumufaisha mwanamke wa kitanzania kuhusu umiliki wa ardhi kwani wanawake ndiyo wazalishaji wakubwa katika familia kupitia ardhi.Item Sauti ya Siti : Women and law(TAMWA/CHAWAHATA, 2000) TAMWA, CHAWAHATAIn any given society, a legal system is a reflection of development of that society. In Tanzania we have enhanced laws concerning women rights. However, the practice is lagging behind.