Speeches and Statements
Permanent URI for this collection
Browse
Browsing Speeches and Statements by Author "Nyerere, Julius Kambarage"
Now showing 1 - 20 of 23
Results Per Page
Sort Options
Item Five years of CCM Government: the address given to the national conference of Chama cha Mapinduzi on 20th october, 1982(Diamond Jubilee Hall, 1982) Nyerere, Julius KambarageThis is a speech was given to the national conference of Chama cha Mapindizi by the Chairman Ndugu Julius K Nyerere on 20th October 1982 at Diomond Jubilee hall Dar es SalaamItem Foreign Affairs bulletins Tanzania: An official record of forein policy of the united republic of Tanzania(Government printer, 1965) Nyerere, Julius KambarageThis is a statement / pamphlet that explain the policies and attitudes of the Tanzanian Government one month after the illegal declaration of independence by the racist minority government in Rhodesia.Item Hotuba ya Raisi Julius K. Nyerere katika Bunge(Mpiga Chapa Mkuu wa Serikali, 1985-07-29) Nyerere, Julius KambarageHii ni hotuba ya Raisi Julius K. Nyerere katika bunge Dar es salaam, Julai 29 1985. Alihutubia kwa kuyatazama mambo aliyoyafanya toka alipokabidhiwa jukumu la kuingoza nchi ikiwa huru. "Napenda kuyatazama mambo hayo kulingana na shabaha tulizojiwekea mwaka 1961, 1962 na 1964". Hayo ni maneno yakeItem Independence and solidarity(National Press Club, 1963) Nyerere, Julius KambarageThis book address by the president of Republic of Tanganyika, Mwalimu Julius K. Nyerere in Washington D.C- July 15, 1963. He addressed as a member of the Nation Press Club, who represent the leading newspapers, pres service associations, radio and television networks and stations and many weekly and monthly publications.Item Jamhuri ya Tanganyika, maelezo ya Mheshimiwa J. K.Nyerere, M.P. katika radio, 30.5.62(Idara ya Habari, 1962) Nyerere, Julius KambarageHili ni tamko ambalo lilielekeza kanuni za katiba ya Jamhuri ya MuunganoItem Kazi za Taasisi ya Mwalimu Nyerere(Taasisi ya Mwalimu Nyerere, 2001) Nyerere, Julius KambarageHii ni hotuba ambayo ilielezea maendeleo, mwanzo wa tume ya Kusini, mwanzo wa South-Centre-Geneva, ufafanuzi wa kazi za taasisi ya Mwalimu Nyerere na kuonesha maswali na majibu ya wananchi.Item Maendeleo ya uchumi na siasa za watanzania(Wizara ya Habari na Utalii, 1966) Nyerere, Julius KambarageHii ni taarifa ya raisi wa jamhuri wa muungano wa Tanzania na raisi wa TANU, iliyoeleza maendeleo ya uchumi na siasa za watanzania.Item Man and development(Oxford University Press, 1974) Nyerere, Julius KambarageThis book deals with some aspects of man's life, duty and right in society. It showed a reaffirmation of the fundamental unity and equality of all human being regardless of color, race, religion or sexItem Miaka mitano ya serikali ya CCM: Hotuba iliyotolewa na mwenyekiti wa CCM(CCM, 1982) Nyerere, Julius KambarageHii ni hotuba iliyoelezea maendeleo na vikwazo vya wananachi, iliyotolewa na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, Mwalimu Julius K. Nyerere, kwenye mkutano mkuu wa taifa wa CCM,tarehe 29 Octoba, 1982 katika ukumbi wa Diamond Jubilee.Item Mkutano mkuu wa TANU(Mpiga Chapa Mkuu wa Serikali, 1973) Nyerere, Julius KambarageHii ni taarifa iliyotolewa na raisi chama J. K. Nyerere kwenye mkutano mkuu wa TANU mwaka 1973. Taarifa hii ilielezea muendelezo ya nchi na wananchi hasa katika umuhimu wa kuongeza mazao nchini.Item Njaa si jambo la mzaha(Wizara ya Habari na Utamaduni, 1981) Nyerere, Julius KambarageHii ni risala iliyotolewa na rais J. K Nyerere uwanja wa ukombozi Mwanza tarehe 5 March, 1981. Alizungumzia masuala ya upungufu wa chakula nchini na kusisitiza wananchi kafanya kazi kwa bidii.Item Non-alignment in the 1970s: preparatory meeting of the Non-alignment countries(Government printer, 1970) Nyerere, Julius KambarageThis was a preparatory meeting of the Non Aligned countries which were done in 13th to 17th April, 1970 and chairman was Julius K Nyerere the president of the united republic of TanzaniaItem Nyufa(Taasisi ya mwalimu nyerere, 1995-03-13) Nyerere, Julius KambarageHii ni hotuba iliyotolewa na Mwalimu Julius K. Nyerere baada ya klabu ya waandishi wa habari wa Tanzania kumuomba azungumzie masuala ya maendeleo kimataifa na hapa nchini. Pia aliombwa atoe maoni yake kuhusu hali ya kisiasa na kiuchumi nchini katika mazingira mapya ya vyama vingi.Item Our economy, 1965-1967(Government Printer, 1966) Nyerere, Julius KambarageThis is a speech of Mwalimu Nyerere, the president of the united republic of Tanzania, that introduced the five year development plan for Tanganyika and commended it for your attention.Item Principles and Development(Government printer, 1962) Nyerere, Julius KambarageThis is a statement or memorandum that written by president of the United Republic of Tanzania and President of TANU, June, 1966Item Reflections on Africa and its future(Nigerian Institute of International Affairs, 1987) Nyerere, Julius KambarageThis was a lecture of Mwalimu Julius K. Nyerere that held in Silver Jubilee, Nigeria.Item Speech by the Chairman, Mwalimu Julius K. Nyerere, at National Conference of Chama cha Mapinduzi(Mpiga Chapa Mkuu wa Serikali, 1985) Nyerere, Julius KambarageSpeech by the Chairmain,Mwalimu Julius K.Nyerere,at National Conference of Chama Cha Mapinduzi. Dar es Salaam: 15th August 1985.Item Speech by the President of Tanzania, Mwalimu Julius K. Nyerere at the Friedrich - Ebert - Foundation, Bonn, 21st May, 1985(Friedrich-Ebert-Stiftung, 1985) Nyerere, Julius KambarageSpeech by The President of Tanzania,Mwalimu Julius K. Nyerere at the Friedrich-Ebert-Foundation,Bonn,21st May,1985Item Speeches in United Kingdom march, 1985(Ministry of foreign affairs, 1985) Nyerere, Julius KambarageThe president mwalimu Julius K.Nyerere speeches in united kingdom march,1985Item A time of struggle : address by President Julius K. Nyerere to the National Assembly, Dar es Salaam, 22nd July, 1980(1980) Nyerere, Julius KambarageA time of struggle : address by President Julius K. Nyerere to the National Assembly, Dar es Salaam, 22nd July, 1980 address by President Julius K.Nyerere to the National Assembly Dar es Salaam, 22 July ,1980.