Nyufa

Date

1995-03-13

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

Taasisi ya mwalimu nyerere

Abstract

Hii ni hotuba iliyotolewa na Mwalimu Julius K. Nyerere baada ya klabu ya waandishi wa habari wa Tanzania kumuomba azungumzie masuala ya maendeleo kimataifa na hapa nchini. Pia aliombwa atoe maoni yake kuhusu hali ya kisiasa na kiuchumi nchini katika mazingira mapya ya vyama vingi.

Description

Available in print form, East Africana Collection, Dr. Wilbert Chagula Library

Keywords

Hotuba ya mwalimu, Tanzania, 1995

Citation

Nyerere, J. K (1995) Nyufa, Taasisi ya mwalimu nyerere, Dar es salaam. p.42