Hotuba ya Raisi Julius K. Nyerere katika Bunge

Date

1985-07-29

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

Mpiga Chapa Mkuu wa Serikali

Abstract

Hii ni hotuba ya Raisi Julius K. Nyerere katika bunge Dar es salaam, Julai 29 1985. Alihutubia kwa kuyatazama mambo aliyoyafanya toka alipokabidhiwa jukumu la kuingoza nchi ikiwa huru. "Napenda kuyatazama mambo hayo kulingana na shabaha tulizojiwekea mwaka 1961, 1962 na 1964". Hayo ni maneno yake

Description

Available in print form, East Africana Collection, Dr Wilbert Chagula Library (EAF PAM JG 3516.T36 N9)

Keywords

Hotuba ya Raisi, 1985, Hotuba za Bunge

Citation

Nyerere J. K (1985) Hotuba ya Raisi Julius K. Nyerere katika Bunge, Mpiga Chapa Mkuu wa Serikali, Dar es salaam. p.39