Masters Dissertations
Permanent URI for this collection
Browse
Browsing Masters Dissertations by Author "Adachi, Fumiko"
Now showing 1 - 1 of 1
Results Per Page
Sort Options
Item Kiburi kinavyoficha unyonge: mifano kutoka riwaya za C.S.L Chachage(University of Dar es Salaam, 2006) Adachi, FumikoKiburi hujitokeza kwa ajili ya unyonge . hili ni dai la mwanasaikolojia A. aldler. Kutokana na wazo lake, ni kwamba kila mtu akiwa na hisia ya unyonge, anajaribu kupambana na kuishinda hali hiyo. Lakini hisia ya unyonge ikiwa kubwa, mwenye unyonge anatafuta jinsi ya kuuficha unyonge wake na kuonesha ubora zaidi kutokana na hofu ya kushindwa na hisia hiyo. Hivyo ndivyo kiburi kinavyojijenga ndani ya mtu. Katika riwaya ya Chachage, tunaona wahusika wenye kiburi kutokana na elimu zao, utajiri wao, madaraka yao, na kadhalika. Tasnifu hii inaangalia jisni hawa ahusika wanavyotumia kiburi kwa kuuficha unyonge wao, ambao unatokea kutokana na malezi yasiyofaa, aumatatizo kwenye uhusiano katika familia au jamii. Hali kadhalika, Adler anaeleza kwamba wenye kiburi wanaangalia manufaa yao wenyewe tu bila kuwajali watu wengine. Lakini anadai kwamba watu hao wakiguswa na hisia za watu wengine au hisia za jamii, wanaweza kubadilika. Tasnifu hii inachunguza mabadiliko ya wahusika wenye kiburi yanasawiria vipi katika riwaya za chachage. Kwa kufanya hivyo, tunaelewa zaidi dhima ya kiburi, umuhimu wa uhusiano mzuri katika kukipiga vita kiburi katika jamii, na mchango wa riwaya za Chachage katika jam