Usawiri wa wahusika wanawake katika ngano za kinyiramba

dc.contributor.authorKitundu, Neema Joseph
dc.date.accessioned2020-03-26T18:41:24Z
dc.date.available2020-03-26T18:41:24Z
dc.date.issued2012
dc.descriptionAvailable in print form, East Africana Collection, Dr. Wilbert Chagula Library, Class mark ( THS EAF PL 8025.T34K578 )en_US
dc.description.abstractLengo la utafiti huu lilikuwa ni kuchunguza usawiri wa wa ngano za husika wanawake katika Kinyiramba. Lengo hili limeweza kufanikiwa kutokana na kukamilika kwa malengo mahususi yaliyohusu kuchunguza dhamira mbalimbali za usawiri wa rnwanamke katika ngano, kubainisha na kuchambua usawiri wa wahusika wanawake katika ngano hizo. Maandiko na machapisho mbalimbali juu ya ngano na nafasi ya mwanamke yamepitiwa kwa kutumia nadharia. Uhalisa. Utafiti umetumia mbinu ya uchambuzi matinikatika kukusanya data za msingi za utafiti pamoja na data za upili kutoka maandiko mbalimbali. Uchambuzi wa data umeongozwa na mbinu ya uchambuzi wa kifasihi. Matokeo ya utafitiyanaonesha kwamba, wahusika wanawake wamesawiriwa kwa mtazamo hasi katika ngano hizi kuliko ule chanya. Aidha uchunguzi umegundua kwamba ngano hizi zimeyazungumzia masuala mbalimbali yanayowakandamiza wanawake katika jamii ikiwepo mfumo dume. Miongoni mwa masuala hayo ni uhuru wa mwanamke ambao hujengwa na dhamira nyingine kama vile ulezi, uzalishaji mall, uvurnilivu, ushujaa, umalaya, uchawi, rnwenye wive, chombo cha starehe na kadhalika. Utafiti umegundua kwamba hit imetokana na mfumo wa jamii unavyomtazama mwanamke. Mwisho limetolewa hitimisho kuu la utafiti, lililoainisha nyanja mbalimbali za kiutafiti zinazoweza kuibuliwa katika wahusika wengine katika kazi za fasihi simulizi hususani ngano.en_US
dc.identifier.citationKitundu, N J (2012) Usawiri wa wahusika wanawake katika ngano za kinyiramba, Master dissertation, University of Dar es Salaam. Dar es Salaamen_US
dc.identifier.urihttp://41.86.178.5:8080/xmlui/handle/123456789/8320
dc.language.isootheren_US
dc.publisherUniversity of Dar es Salaam,en_US
dc.subjectNyiramba (African people)en_US
dc.subjectWomen participationen_US
dc.titleUsawiri wa wahusika wanawake katika ngano za kinyirambaen_US
dc.typeThesisen_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Neema Joseph Kitundu.pdf
Size:
4.98 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: