Mawaidha ya Wamuchuthe

dc.contributor.authorMichuki, David N.
dc.date.accessioned2022-06-10T05:56:21Z
dc.date.available2022-06-10T05:56:21Z
dc.date.issued1969
dc.descriptionKinapatikana kwenye machapisho ya Kiswahili, maktaba ya Dkt. Wilbert Chagula. Kitengo cha Afrika Mashariki (EAF PAM PL8704.W3M38)en_US
dc.description.abstractKwa vile lugha ya kiswahili ilivyoenea siku hizi na kutumiwa na Waafrika wasiofundishwa lugha hiyo na mama zao, si ajabu tukiona Waafrika wakiachana na kanuni zilizopo za utungaji wa mashairi na kutunga wanavyotaka wenyewe. Hii ni moja ya dalili ya maendeleo ya kisasa. Bila shaka wale waliozoea kuandika mashairi hawatapendezwa na kanuni mpya. Ubora wa mashairi ya asili ya kiswahili ni katika kuandika walivyoandika washairi waliotangulia, kusiwepo na mabadiliko hata kidogo. Lakini hakuna maendeleo bila mabadiliko.Kitabu hiki kilichofasiriwa na bwana Michuki kinafaa sana kusomwa katika shule nyingi iwezekanavyo kwasbabu ya mtindo wake utawashawishi watoto wetu kujua zaidi juu ya historia na hekima za babu zetu.Sina shaka kusema kuwa watu wazima pia watapendezwa hali kadhalika.en_US
dc.identifier.citationMichuki, David N(1969)Mawaidha ya Wamuchuthe,East African Publishing House,Nairobi.en_US
dc.identifier.urihttp://41.86.172.12:8090/xmlui/handle/123456789/16632
dc.language.isoswen_US
dc.publisherEast African Publishing Houseen_US
dc.subjectMawaidha ya Wamuchutheen_US
dc.titleMawaidha ya Wamuchutheen_US
dc.typeBooken_US
Files
Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
mawaidha ya wamuchuthe 1.pdf
Size:
4.26 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: