Mawaidha ya Wamuchuthe

Date

1969

Journal Title

Journal ISSN

Volume Title

Publisher

East African Publishing House

Abstract

Kwa vile lugha ya kiswahili ilivyoenea siku hizi na kutumiwa na Waafrika wasiofundishwa lugha hiyo na mama zao, si ajabu tukiona Waafrika wakiachana na kanuni zilizopo za utungaji wa mashairi na kutunga wanavyotaka wenyewe. Hii ni moja ya dalili ya maendeleo ya kisasa. Bila shaka wale waliozoea kuandika mashairi hawatapendezwa na kanuni mpya. Ubora wa mashairi ya asili ya kiswahili ni katika kuandika walivyoandika washairi waliotangulia, kusiwepo na mabadiliko hata kidogo. Lakini hakuna maendeleo bila mabadiliko.Kitabu hiki kilichofasiriwa na bwana Michuki kinafaa sana kusomwa katika shule nyingi iwezekanavyo kwasbabu ya mtindo wake utawashawishi watoto wetu kujua zaidi juu ya historia na hekima za babu zetu.Sina shaka kusema kuwa watu wazima pia watapendezwa hali kadhalika.

Description

Kinapatikana kwenye machapisho ya Kiswahili, maktaba ya Dkt. Wilbert Chagula. Kitengo cha Afrika Mashariki (EAF PAM PL8704.W3M38)

Keywords

Mawaidha ya Wamuchuthe

Citation

Michuki, David N(1969)Mawaidha ya Wamuchuthe,East African Publishing House,Nairobi.