Ulinganishi wa methali za Kiswahili na za Kichina

dc.contributor.authorLei, Zhao
dc.date.accessioned2019-06-04T07:27:37Z
dc.date.accessioned2020-01-07T16:26:35Z
dc.date.available2019-06-04T07:27:37Z
dc.date.available2020-01-07T16:26:35Z
dc.date.issued2010
dc.descriptionKinapatikana katika mfumo wa kuprintiwaen_US
dc.description.abstractMethali ni kazi mojawapo ya fasihi simulizi ambayo inatumia maneno machache, kimafumbo au kwa kupigia mifano ili kuelezea maadili na uzoefu wa shughuli mbalimbali ambazo zinaitambulisha jamii fulani. Kazi hii inachunguza na kulinganisha muundo, tamathali za semi, taswira na dhamira za methali za Kiswahili na za Kichina. Methali za Kiswahili na za Kichina zinatofautiana kimuundo na zinatumia tamathali za semi kwa kiwango tofauti, tena zinatumia taswira zinazofahamika na jamii yenyewe. Hali kadhalika, methali za Kiswahili na za Kichina zinafanana kwa kiasi kikubwa kimaudhui. Methali hizo huwafundisha watu jinsi wanavyotakiwa kuwa na tabia nzuri, kuishi vizuri na watu na kushughulikia mambo ya ulimwenguni. Vipengele vyote vya kifani na kimaudhui vinathibitisha sifa za methali. Kutokana na ulinganishi wa methali, inadhihirika kwamba sifa za kijamii na kiutamaduni baina ya Waswahili na ya Wachina zinafanana. Watu wa jamii hizo wanaweza kuelewana kwa urahisi itikadi na amali zao.en_US
dc.identifier.citationLei, Z (2010) Ulinganishi wa methali za Kiswahili na za Kichina. Uzamili wa Fasihi, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Kinapatikana tovuti ya http://41.86.178.3/internetserver3.1.2/detail.aspx?en_US
dc.identifier.urihttp://localhost:8080/xmlui/handle/123456789/3387
dc.language.isoenen_US
dc.publisherUniversity of Dar es Salaamen_US
dc.subjectMethalien_US
dc.subjectKiswahilien_US
dc.subjectKichinaen_US
dc.titleUlinganishi wa methali za Kiswahili na za Kichinaen_US
dc.typeThesisen_US
Files