Changamoto za kutumia kamusi katika ujifunzaji na ufundishaji kiswahili kwa wasioona: Mifano kutoka shule za msingi na Sekondari mkoa ni Iringa, Tanzania

dc.contributor.authorAmon, Joyce
dc.date.accessioned2021-08-11T10:54:50Z
dc.date.available2021-08-11T10:54:50Z
dc.date.issued2016
dc.descriptionAvailable in print form, East Africana Collection, Dr. Wilbert Chagula Library, Class mark (THS EAF PL8703.A56)en_US
dc.description.abstractUtafiti huu umelenga kuchunguza, na kufafanua changamoto za matumizi ya kamusi katika ujifunzaji na ufundishaji wa Kiswahili kwa wasioona. Utafiti huu unachungu za zaidi na mnawanafunzi wasioona wanavyoweza kutumia kamusi katika maana za maneno na matumizi yake, tahaji na alama zinazotumika katika kamusi. Katika utafiti huu tumetumia hojaji pamoja na dodoso kupata data kutoka uwandani, ambapo watoa taarifa 40 kutoka shule ya Msingi Mwaya na shule ya sekondari Lugalo walishirikishwa. Nadharia iliyotuongoza katika uchanganuzi wa data ni Nadharia ya Mwenendo wakiam shina mwitiko ambayo msingi wake mkuu ni jinsi za na mbinu zinavyoweza kuhamasisha tabia ya kujifunza lugha ya animotisha ndiyo kiini cha kujifunza na kufundisha. Matokeo ya utafiti yanabainisha kuwa, hakuna kamusi zilizo katika maandishi ya nukta nundu zinazo wawezesha wanafunzi wasioona kuweza kujifunza maana za maneno na matumizi ya kisarufi katika kamusi za Kiswahili sanifu. Hali hii inasababisa kushindwa kujifunza matumizi ya kamusiza Kiswahili kwaufanisi. Kwahiyo, ilikupunguza changamoto hizo ni vema wadau wa uchapishaji wakamusi za Kiswahili sanifu kuandaa kamusi zenye maandishi ya nukta nundu. Aidha, utafiti huu unatoa mchango mkubwa katika taaluma ya Leksikolojia katika kujua umuhimu wakutengeneza kamusiya Kiswahili Sanifu kwa kutumia maandishi ya nukta nundu na kutambua ukubwa wasoko la kamusi hizo kwa watumiaji wake.en_US
dc.identifier.citationAmon, Joyce (2016) Changamoto za kutumia kamusi katika ujifunzaji na ufundishaji kiswahili kwa wasioona: Mifano kutoka shule za msingi na Sekondari mkoa ni Iringa, Tanzania, Master dissertation, University of Dar es Salaamen_US
dc.identifier.urihttp://41.86.178.5:8080/xmlui/handle/123456789/15375
dc.language.isoswen_US
dc.publisherUniversity of Dar es Salaamen_US
dc.subjectSwahili languageen_US
dc.subjectDictionariesen_US
dc.subjectChildren with disabilitiesen_US
dc.subjectPrimary schoolsen_US
dc.subjectSecondary schoolsen_US
dc.subjectIringa regionen_US
dc.subjectTanzaniaen_US
dc.titleChangamoto za kutumia kamusi katika ujifunzaji na ufundishaji kiswahili kwa wasioona: Mifano kutoka shule za msingi na Sekondari mkoa ni Iringa, Tanzaniaen_US
dc.typeThesisen_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
JOYCE AMON.pdf
Size:
6.64 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: