Changamoto za kutumia kamusi katika ujifunzaji na ufundishaji kiswahili kwa wasioona: Mifano kutoka shule za msingi na Sekondari mkoa ni Iringa, Tanzania
Loading...
Date
2016
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
University of Dar es Salaam
Abstract
Utafiti huu umelenga kuchunguza, na kufafanua changamoto za matumizi ya kamusi katika ujifunzaji na ufundishaji wa Kiswahili kwa wasioona. Utafiti huu unachungu za zaidi na mnawanafunzi wasioona wanavyoweza kutumia kamusi katika maana za maneno na matumizi yake, tahaji na alama zinazotumika katika kamusi. Katika utafiti huu tumetumia hojaji pamoja na dodoso kupata data kutoka uwandani, ambapo watoa taarifa 40 kutoka shule ya Msingi Mwaya na shule ya sekondari Lugalo walishirikishwa. Nadharia iliyotuongoza katika uchanganuzi wa data ni Nadharia ya Mwenendo wakiam shina mwitiko ambayo msingi wake mkuu ni jinsi za na mbinu zinavyoweza kuhamasisha tabia ya kujifunza lugha ya animotisha ndiyo kiini cha kujifunza na kufundisha. Matokeo ya utafiti yanabainisha kuwa, hakuna kamusi zilizo katika maandishi ya nukta nundu zinazo wawezesha wanafunzi wasioona kuweza kujifunza maana za maneno na matumizi ya kisarufi katika kamusi za Kiswahili sanifu. Hali hii inasababisa kushindwa kujifunza matumizi ya kamusiza Kiswahili kwaufanisi. Kwahiyo, ilikupunguza changamoto hizo ni vema wadau wa uchapishaji wakamusi za Kiswahili sanifu kuandaa kamusi zenye maandishi ya nukta nundu. Aidha, utafiti huu unatoa mchango mkubwa katika taaluma ya Leksikolojia katika kujua umuhimu wakutengeneza kamusiya Kiswahili Sanifu kwa kutumia maandishi ya nukta nundu na kutambua ukubwa wasoko la kamusi hizo kwa watumiaji wake.
Description
Available in print form, East Africana Collection, Dr. Wilbert Chagula Library, Class mark (THS EAF PL8703.A56)
Keywords
Swahili language, Dictionaries, Children with disabilities, Primary schools, Secondary schools, Iringa region, Tanzania
Citation
Amon, Joyce (2016) Changamoto za kutumia kamusi katika ujifunzaji na ufundishaji kiswahili kwa wasioona: Mifano kutoka shule za msingi na Sekondari mkoa ni Iringa, Tanzania, Master dissertation, University of Dar es Salaam