Sintaksia ya maswali kaika lugha ya Kiswahili

dc.contributor.authorAmbrose, Daniel
dc.date.accessioned2021-01-28T05:21:02Z
dc.date.available2021-01-28T05:21:02Z
dc.date.issued2016
dc.descriptionAvailable in print form, EAF collection, Dr. Wilbert Chagula Library, class mark ( THS EAF PL8702.A52 )en_US
dc.description.abstractUtafiti huu ulilenga kuchunguza Sintaksia ya maswali katika lugha ya Miongoni mwa mambo ambayo mtafiti aliyatafiti ni viashiria vya maswali, aina ya maswali. muundo wa maswali na matumizi mengine ya maswali katika lugha ya Kiswahili. Data ilikusanywa katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Stefano Moshi na Mtaa wa pasua nchini Tanzania. Data ilikusanywa kwa njia ya hojaji, mahojiano na mijadala katika vikundi lengwa. Data ilichambuliwa kwa kuongozwa na nadharia ya Kiunzi Rasmi cha Sarufi Geuzamaumbo Zalishi iliyoasisiwa na mwanaisimu mashuhuri NoamChomsky. Utafiti huu umegundua kuwa viulizi vinaweza kugawanywa kwa namna kuu mbili, kimuundo na kidhima. Pia utafiti huu ulibaini kuwa muundo wa sentensi ulizi hauhusishi uhamaji wa viambajengo. Pamoja na hayo utafiti huu umegundua kuwa kwa kutumia kigezo cha kidhima sentensi ulizi katika lugha ya Kiswahili zinaweza kugawanywa katika sehemu kuu nne. Zaidi ya yote, tofauti na yalivyo matarajio ya watu wengi, maswali zaidi ya kuhoji juu ya jambo fulani, huweza kuwa na matumizi mengine kama vile kukejeli, kutoa majibu, kupima ufahamu, na kudokeza hisia za mzungumzaji kama vile hasira na huzuni. Mwisho, baada ya kuwasilishwa na kuchambuliwa matokeo ya utafiti, mapendekezo yametolewa juu ya nini kifanyike zaidi kutokana na matokeo hayoen_US
dc.identifier.citationAmbrose, D ( 2016 ) Sintaksia ya maswali kaika lugha ya Kiswahili , Masters dissertation, University of Dar es Salaam, Dar es Salaam.en_US
dc.identifier.urihttp://41.86.178.5:8080/xmlui/handle/123456789/14482
dc.language.isoenen_US
dc.publisherUniversity of Dar es Salaamen_US
dc.subjectSwahili languageen_US
dc.subjectSyntaxen_US
dc.titleSintaksia ya maswali kaika lugha ya Kiswahilien_US
dc.typeThesisen_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Daniel Ambrose.pdf
Size:
178.67 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: