Matumizi ya lugha ya picha katika nyimbo za Kinyankole zinazohusu ukimwi

dc.contributor.authorPerpetua, Arinaitwe
dc.date.accessioned2019-06-28T07:51:00Z
dc.date.accessioned2020-01-07T16:26:36Z
dc.date.available2019-06-28T07:51:00Z
dc.date.available2020-01-07T16:26:36Z
dc.date.issued2011
dc.descriptionAvailable in printen_US
dc.description.abstractUtafiti huu umechunguza Matumizi ya Lugha ya Picha katika Nyimbo za Kinyankole. Utafiti ulihusisha nyimbo mbalimbali zinazohusu UKIMWI katika kabila la Wanyankole. Lengo lilikuwa ni kuchunguza mbinu zinazotumiwa na watunzi wa nyimbo hizi katika kuelimisha jamii kuhusu UKIMWI. Utafiti huu ulitumia nadharia ya Upokezi iliyoasisiwa na Hans-Robert Jauss (1960). Mtafiti alichunguza vipengele na misingi ya nadharia hii ambayo ilisaidia katika uwasilishaji na uchambuzi wa data. Utafiti ulihusisha sehemu za uwandani na maktabani, ambapo data zilizopatikana zilichambuliwa kwa kutumia nadharia ya Upokezi. Maktabani mtafiti alisoma vitabu, na makala mbalimbali ambazo zilisaidia katika upatikanaji wa data muhimu. Uwandani, mtafiti alipata data kutoka kwa watunzi na waimbaji wa nyimbo za UKIMWI. Katika utafiti huu, imeonekana kuwa nyimbo hizi zimetoa mchango mkubwa katika kuwashauri na kuwahamasisha wanajamii kujikinga na ugonjwa wa UKIMWI. Vilevile utafiti huu umebainisha kuwa suala la unyanyapaa kwa wagonjwa wa UKIMWI lipo na wagojwa hawa wananyanyapaliwa hata na ndugu zao. Ingawa jitihada za kuzuia unyanyapaa zipo na zinasisitizwa. Pia imegundulika kuwa, baadhi ya watu wenye VVU wanawaambukiza wengine kwa makusudi kabisa. Hii ni kutokuwa na elimu ya kutosha. Utafiti huu, unapendekeza jitihada zaidi zitolewe kuhusiana na maambukizi ya ugonjwa wa UKIMWI.en_US
dc.identifier.citationPerpetua, A (2011) Matumizi ya lugha ya picha katika nyimbo za Kinyankole zinazohusu ukimwi. Master dissertation, University of Dar es Salaam. Available at http://41.86.178.3/internetserver3.1.2/detail.aspxen_US
dc.identifier.urihttp://localhost:8080/xmlui/handle/123456789/3401
dc.language.isoenen_US
dc.publisherUniversity of Dar es Salaamen_US
dc.subjectNyankole languageen_US
dc.subjectSongsen_US
dc.subjectNyankoleen_US
dc.subjectAIDS - Diseasesen_US
dc.subjectUgandaen_US
dc.titleMatumizi ya lugha ya picha katika nyimbo za Kinyankole zinazohusu ukimwien_US
dc.typeThesisen_US

Files