Rashid Mfaume Kawawa 1926-2009

dc.date.accessioned2020-09-14T10:35:55Z
dc.date.available2020-09-14T10:35:55Z
dc.date.issued2010-01-01
dc.descriptionAvailable in print form, East Africana Collection, Dr. Wilbert Chagula Library, Newspaper Collection.en_US
dc.description.abstractWaziri mkuu na makamu wa pili wa Rais mstaafu, mzee Rashid Mfaume kawawa alifariki dunia katika hospitali ya Taifa Muhimbili alikolazwa baada ya afya yake kubadirika ghafla. Mzee Kawawa alikua miongoni mwa wanasiasa na watanzania waliokua nguzo kubwa ya kutete na kuulinda muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Mzee Mfaume Kawawa alitumia muda mwingi kuhimiza umoja na mshikamano wa watanzania wakati wa uhai wake. Mzee Kawawa alizikwa nyumbani kwake Madale January 2, 2010.en_US
dc.identifier.citationRashid Mfaume Kawawa 1926-2009 (2010 January 1). University of Dar es Salaam.en_US
dc.identifier.urihttp://41.86.178.5:8080/xmlui/handle/123456789/13536
dc.language.isoswen_US
dc.publisherUniversity of Dar es Salaamen_US
dc.subjectMfaume Rashidi Kawawaen_US
dc.subjectRais Kikweteen_US
dc.subjectHospitali ya Taifa Muhimbilien_US
dc.titleRashid Mfaume Kawawa 1926-2009en_US
dc.typeOtheren_US
Files
Collections