Rashid Mfaume Kawawa 1926-2009

Loading...
Thumbnail Image
Date
2010-01-01
Authors
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
University of Dar es Salaam
Abstract
Waziri mkuu na makamu wa pili wa Rais mstaafu, mzee Rashid Mfaume kawawa alifariki dunia katika hospitali ya Taifa Muhimbili alikolazwa baada ya afya yake kubadirika ghafla. Mzee Kawawa alikua miongoni mwa wanasiasa na watanzania waliokua nguzo kubwa ya kutete na kuulinda muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Mzee Mfaume Kawawa alitumia muda mwingi kuhimiza umoja na mshikamano wa watanzania wakati wa uhai wake. Mzee Kawawa alizikwa nyumbani kwake Madale January 2, 2010.
Description
Available in print form, East Africana Collection, Dr. Wilbert Chagula Library, Newspaper Collection.
Keywords
Mfaume Rashidi Kawawa, Rais Kikwete, Hospitali ya Taifa Muhimbili
Citation
Rashid Mfaume Kawawa 1926-2009 (2010 January 1). University of Dar es Salaam.
Collections