Kuugua hadi kufa kwa baba wa Taifa

dc.date.accessioned2020-09-09T06:00:58Z
dc.date.available2020-09-09T06:00:58Z
dc.date.issued1999-10-14
dc.descriptionAvailable in print form, East Africana Collection, Dr. Wilbert Chagula Library, Newspaper Collection.en_US
dc.description.abstractKifo cha baba wa Taifa na Mwasisi wa Taifa la Tanzania Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kilitokea nchini London mnamo tarehe 14/10/1999 saa 4:30 za Africa Mashariki katika hospitali ya Mtakatifu Thomas, London Uingereza alikokua amelazwa. Mwalimu Nyerere aligundulika kua na kansa ya damu . Mwalimu alizikwa nyumbani kwake Mwitonga kijijini Butihama, mkoa wa Mara, Wilayani Musoma.en_US
dc.identifier.citationKuugua hadi kufa kwa baba wa Taif (1999, October 14). University of Dar es Salaam.en_US
dc.identifier.urihttp://41.86.178.5:8080/xmlui/handle/123456789/13517
dc.language.isoen_swen_US
dc.publisherUiversity of Dar es Salaamen_US
dc.subjectMwalimu Nyerereen_US
dc.subjectRais Mkapaen_US
dc.subjectLondonen_US
dc.subjectUingerezaen_US
dc.subjectButihamaen_US
dc.subjectMaraen_US
dc.subjectMusomaen_US
dc.titleKuugua hadi kufa kwa baba wa Taifaen_US
dc.typeOtheren_US
Files
Collections