Corruption in Tanzania: Killing knife of the national development
dc.date.accessioned | 2020-09-10T12:14:24Z | |
dc.date.available | 2020-09-10T12:14:24Z | |
dc.date.issued | 2003-01-22 | |
dc.description | Available in print form, East Africana Collection, Dr. Wilbert Chagula Library, Newspaper Collection. | en_US |
dc.description.abstract | Magazeti mbalimbali yaliadika juu ya mjadala aliouzua Dk. Kitine juu ya kushamiri kwa rushwa katika serikali na chama tawala. Mjadala huo ulizuka baada ya Jaji Joseph Warioba kutoa ripoti kuhusu rushwa kutofanyiwa kazi ipasavyo. Naye profesa Lipumba alisema katika mihadhara iliyofanyika nchini Swedeni, tathmini ya sera za maendeleo Tanzania, repoti ya rushwa ya jaji Warioba ilichambuliwa na kubaini kua ripoti hiyo iliwafatilia wala rushwa wadogo (Dagaa) na kuwaacha wala rushwa wakubwa (Papa). | en_US |
dc.identifier.citation | Corruption in Tanzania: Killing knife of the national development (2003, January 22). University of Dar es Salaam. | en_US |
dc.identifier.uri | http://41.86.178.5:8080/xmlui/handle/123456789/13532 | |
dc.language.iso | en_sw | en_US |
dc.publisher | Uiversity of Dar es Salaam | en_US |
dc.subject | Dk. Kitine | en_US |
dc.subject | Joseph Warioba | en_US |
dc.subject | Profesa Lipumba | en_US |
dc.subject | Rushwa | en_US |
dc.title | Corruption in Tanzania: Killing knife of the national development | en_US |
dc.type | Other | en_US |