Dhamira za nyimbo za harusi za wakerewe na mabadiliko ya jamii

dc.contributor.authorMugassa, Anna Helen Faustin
dc.date.accessioned2020-04-01T08:07:32Z
dc.date.available2020-04-01T08:07:32Z
dc.date.issued2012
dc.descriptionAvailable in print form, East Africana Collection, Dr. Wilbert Chagula Library, Class mark (THS EAF PL8025.T34M83)en_US
dc.description.abstractTasinifu hii ni matokeo ya utafiti kuhusu Dhamira za Nyimbo za Harusi za Wakerewe na Mabadiliko ya Jamii. Utafiti ulikusudia kuchunguza mabadiliko ya jamii ya Wakerewe jinsi yanavyoakisiwa na dhamira za nyimbo za harusi za Wakerewe. Nyimbo kumi zilizoimbwa kuanzia miaka ya 1970 hadi mwaka 2010 ndizo zilizochungunzwa katika utafiti huu. Nyimbo hizo zimekusanywa kutoka vijiji vya Bukindo na Buzegwe katika wilaya ya Ukerewe.Nyimbo za harusi kumi zilizokusanywa zilichambuliwa ili kuweza kubainisha mabadiliko ya jamii yanavyoakisiwa na dhamira katika jamii ya Wakerewe. Aidha, nadharia ya Sosholojia ilitumika katika uchambuzi wa data. Njia za ushuhudiaji na mahojiano zilisaidia kupata data katika kutimiza lengo la kuchunguza dhamira na mabadiliko ya jamii. Utafiti wetu ulibaini kuwa nyimbo za harusi za Wakerewe huakisi mabadiliko yanayojitokeza katika jamii. Mabadiliko yaliyoakisiwa katika dhamira nyimbo hizo ni pamoja na maendeleo ya sayansi na teknolojia, kuingia kwa ugonjwa wa UKIMWI na kuibuka kwa imani za ushirikina kuhusu maalbino.Mapendekezo ya utafiti huu yalitolewa kwa watafitiwa kufanya tafiti nyingi zaidi katika fani na maudhui kwenye nyimbo za harusi za jamii mbalimbali nchinien_US
dc.identifier.citationMugassa, A H F (2012) Dhamira za nyimbo za harusi za wakerewe na mabadiliko ya jamii, Tasnifu ya Uzamili, Chuo Kikuu cha Dar es Salaamen_US
dc.identifier.urihttp://41.86.178.5:8080/xmlui/handle/123456789/8662
dc.language.isootheren_US
dc.publisherUniversity of Dar es Salaam,en_US
dc.subjectKerewe languageen_US
dc.subjectKerewe (African people)en_US
dc.subjectWedding songsen_US
dc.subjectBantu languagesen_US
dc.titleDhamira za nyimbo za harusi za wakerewe na mabadiliko ya jamiien_US
dc.typeThesisen_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Anna Helen Faustin Mugassa.pdf
Size:
5.57 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: