Mnyambuliko wa vitenzi katika lugh ya Kijita

dc.contributor.authorEmanuel, Fredrick
dc.date.accessioned2020-05-15T19:43:20Z
dc.date.available2020-05-15T19:43:20Z
dc.date.issued2013
dc.descriptionAvailable in printed form, East Africana Collection, Dr. Wilbert Chagula Library, Class mark (THS EAF PL8295.4.E.52)en_US
dc.description.abstractSuala la Mnyambuliko na michakato ya kimofofonolojia limewavutia wataalamu wingi. Hata hivyo, hakuna utafiti mujarabu ambao umefanyika katika lugha ya Kijita. Utafiti huu umechunguza minyambuliko ya vitenzi katika lugha ya Kijita na kubainisha vipashiol, michakato na kanuni zinazoukilia ruwaza ya mnyambuliko katika lugha hiyo. Kwa ujumla, Nadharia ya Isimu fafanuzi pamoja na kiunzi Rasmi cha Fonolojia Zalishi ndizo zimeongoza majadala na uchnganuzi wa data hii. Sura ya tano imeshughlikia matokeo, hitimisho, na mapendekezo ya tafiti fuatishi. Matokeo ya utafiti yamebainisha minyambuliko mitano na kwamba, lugh ya Kijita ina vipashio, michakato na kanuni zinazoukilia utokeaji wake. Aidha michakato ya kimofofonolojia imebainishwa na kuelezwa kwa mujibu wa Kiunzi Rasmi cha Fonolojia Zalishi na pale ilipolazimu kanuni zimefafanuliwa na kurasimishwa kwa kuzingatia iktisadi na uwazi wa kanuni.en_US
dc.identifier.citationEmanuel, F. (2013) Mnyambuliko wa vitenzi katika lugh ya Kijita. Master dissertation, University of Dar es Salaam. Dar es Salaam.en_US
dc.identifier.urihttp://41.86.178.5:8080/xmlui/handle/123456789/11114
dc.language.isootheren_US
dc.publisherUniversity of Dar es Salaamen_US
dc.subjectJita languageen_US
dc.titleMnyambuliko wa vitenzi katika lugh ya Kijitaen_US
dc.typeThesisen_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Fredrick Emanuel.pdf
Size:
8.55 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: