Matatizo yanayokabili mashirika ya kiuchumi Tanzania

dc.date.accessioned2020-09-10T06:36:18Z
dc.date.available2020-09-10T06:36:18Z
dc.date.issued2008-12-12
dc.descriptionAvailable in print form, East Africana Collection, Dr. Wilbert Chagula Library, Newspaper Collection.en_US
dc.description.abstractMashirika ya kiuchumi Tanzania ATC/ATCL, TRC/TRL na Bandari yalitakiwa kufanyiwa uchunguzi wa ndani zaidi baada ya kushindwa kusimamia shughuli zake kikamilifu. Shirika la ndege Tanzania (ATC) lilisimamishwa na kusababisha hasara ya sh milioni 300 kwa wiki. Shirika hili lilisimamishiwa leseni yake kutoa huduma ndani na nje ya nchi hali iliyosababishwa na uzembe wa uongozi wa shirika hilo katika utekelezaji wa majukumu yao. Kwa upande wa TRC serikali ilisimamisha safari za treni ya abiria ya reli ya kati ili kuokoa maafa makubwa zaidi kufatia ajali mbaya ya treni iliyotokea Dodoma April 2002 na kuua zaidi ya abiria 280 na wengine 1000kujeruhiwa.en_US
dc.identifier.citationMatatizo yanayokabili mashirika ya kiuchumi Tanzania (2008, December 12). University of Dar es Salaam.en_US
dc.identifier.urihttp://41.86.178.5:8080/xmlui/handle/123456789/13530
dc.language.isoen_swen_US
dc.publisherUiversity of Dar es Salaamen_US
dc.subjectATCen_US
dc.subjectATCLen_US
dc.subjectTRCen_US
dc.subjectTRLen_US
dc.subjectBandarien_US
dc.titleMatatizo yanayokabili mashirika ya kiuchumi Tanzaniaen_US
dc.typeOtheren_US
Files
Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
challenge facing economic companies in tanzania 3.pdf
Size:
23.29 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: