Economic activities

Permanent URI for this collection

Browse

Recent Submissions

Now showing 1 - 4 of 4
  • Item
    Privatazation and Industrial conflict in Tanzania
    (University of Dar es Salaam, 2002-04-16)
    In the year between 2002 and 2003 different government organization went under privatization. In 2003 Tanesco workers together resolved to stick to their guns to prevent the South African company, Net Group Solution from taking over the management of power utility company. On the other side of the coin, the National Microfinance Bank (NMB) workers resolved to take legal action to stop the privatization of the bank prior to payment of their terminal benefits, and in 2002 TBL buys KBL illegally.
  • Item
    Baraza la mawaziri Tanzania: Mabadiliko 1961-2006
    (University of Dar es Salaam, 2008-02-09)
    Magazeti mbalimbali yaongelea juu ya mawaziri wa Taganyika mwaka 1961-2006 chini ya Waziri mkuu Bw. Julius Kambarage Nyerere ambapo watanganyika waliamini maisha yao kua salama mikononi mwa mawaziri wao.
  • Item
    Tourism in Tanzania
    (University of Dar es Salaam, 2007-02-16)
    Different news papers wrote about tourism industry in Tanzania. In Tanzania, tourism is among one of the World fastest growing. It is one among the aspects of the National economy growth.
  • Item
    Matatizo yanayokabili mashirika ya kiuchumi Tanzania
    (Uiversity of Dar es Salaam, 2008-12-12)
    Mashirika ya kiuchumi Tanzania ATC/ATCL, TRC/TRL na Bandari yalitakiwa kufanyiwa uchunguzi wa ndani zaidi baada ya kushindwa kusimamia shughuli zake kikamilifu. Shirika la ndege Tanzania (ATC) lilisimamishwa na kusababisha hasara ya sh milioni 300 kwa wiki. Shirika hili lilisimamishiwa leseni yake kutoa huduma ndani na nje ya nchi hali iliyosababishwa na uzembe wa uongozi wa shirika hilo katika utekelezaji wa majukumu yao. Kwa upande wa TRC serikali ilisimamisha safari za treni ya abiria ya reli ya kati ili kuokoa maafa makubwa zaidi kufatia ajali mbaya ya treni iliyotokea Dodoma April 2002 na kuua zaidi ya abiria 280 na wengine 1000kujeruhiwa.