Matumizi ya taswira katika nyimbo za sherehe za jando na unyago: jami1 ya wamwera

dc.contributor.authorMahundi, Stanley
dc.date.accessioned2020-04-04T18:17:38Z
dc.date.available2020-04-04T18:17:38Z
dc.date.issued2012
dc.descriptionAvailable in print form, East Africana Collection, Dr. Wilbert Chagula Library, Class mark (THS EAF PL8539.M33)en_US
dc.description.abstractLengo la utafiti huu lilikuwa kufafanua matumizi ya taswira katika nyimbo za sherehe za jando na unyago za jamii ya wamwera. Lengo hili limeweza kufanikiwa kutokana na kukamilika kwa malengo mahsusi yaliyohusu kubainisha taswira zinazazojitokeza katika nyimbo hizo na kueleza umuhimu wa taswira hizo. Maandiko na machapisho mbalimbali kuhusu nyimbo, na mahususi nyimbo za jando na unyago, yamepitiwa yakiongozwa na nadharia ya simiotiki Matokeo ya utafiti yanaonesha kwamba, nyimbo za jando na unyago za jamii ya wamwera hutumia taswira mbalimbali zinazofungamana na utamaduni wa jamii hiyo. Nyimbo hizi hubeba ujumbe mbalimbali si tu kwa wahitimu wa jando na unyago bali pia kwa jamii nzima ya Wamwera Mwisho tumetoa hitimisho kuu la utafiti, lililoainisha maeneo mbalimbali ya kufanyia utafiti katika nyimbo za jando na unyago za wamweraen_US
dc.identifier.citationMahundi, S (2012) ,Matumizi ya taswira katika nyimbo za sherehe za jando na unyago: jami1 ya wamwera, Master dissertation, University of Dar es Salaam. Dar es Salaamen_US
dc.identifier.urihttp://41.86.178.5:8080/xmlui/handle/123456789/8918
dc.language.isootheren_US
dc.publisherUniversity of Dar es Salaam,en_US
dc.subjectMwera Languageen_US
dc.subjectTanzaniaen_US
dc.titleMatumizi ya taswira katika nyimbo za sherehe za jando na unyago: jami1 ya wamweraen_US
dc.typeThesisen_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Stanley Mahundi.pdf
Size:
27.59 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: