Hotuba ya Waziri wa Maendeleo ya mifugo Ndugu Herman K. D. Kirigini (MB) akifungua Mkutano wa kumi wa kisayansi wa chama cha uzalishaji mifugo Tanzania katika ukumbi wa kituo cha Kimataifa cha Mikutano - Arusha Tarehe 18 Octoba, 1983

dc.contributor.authorKirigini, Herman K. D
dc.date.accessioned2021-11-08T10:06:35Z
dc.date.available2021-11-08T10:06:35Z
dc.date.issued1983
dc.descriptionAvailable in print form, East Africana Collection, Dr. Wilbert Chagula Library, (EAF FOS K5.H6)en_US
dc.description.abstractNinayo furaha kubwu mno kupata fursa hii kwa mara nyingine tena kuwa parmoja nanyi katika sherehe hii ya kufungua mkutano huu ambao ni wa kumi wa Chama cha Uzalishaji Mifugo Tanzania (Tanzania Society of Animal Production) Kwa uhakika naweza kutamka kuwa furaha yangu leo hii ni furaha yenu pia kwani Chama chetu sasa kina umri wa miaka kumi tangu kuanzishwa mwaka 1973. Katika kikao hiki mtapata fursa ya kutafakari mafanikio yaliyopatikana katika kipindi cha miaka kumi iliyopita. Napenda vile vile kutumia nafasi hii ya mwanzo kuwakaribisha hapa Arusha na hasa katika kikao hiki wageni wote wanaotoka nje na ndani ya nchi yetu, wataalamu wa fani na taaluma mbali mbali za mifugo, wafugaji kutoka vijijini, maafisa wa mifugo kutoka wizarani, mikoani na wilayani na wengine wote.en_US
dc.identifier.citationKirigini, Herman K. D(1983). Hotuba ya Waziri wa Maendeleo ya mifugo Ndugu Herman K. D. Kirigini (MB) akifungua Mkutano wa kumi wa kisayansi wa chama cha uzalishaji mifugo Tanzania katika ukumbi wa kituo cha Kimataifa cha Mikutano - Arusha Tarehe 18 Octoba, 1983en_US
dc.identifier.urihttp://41.86.178.5:8080/xmlui/handle/123456789/16326
dc.language
dc.language.isoenen_US
dc.publisherFosbrookeen_US
dc.subjectMifugoen_US
dc.subjectHotubaen_US
dc.subjectUzalishajien_US
dc.titleHotuba ya Waziri wa Maendeleo ya mifugo Ndugu Herman K. D. Kirigini (MB) akifungua Mkutano wa kumi wa kisayansi wa chama cha uzalishaji mifugo Tanzania katika ukumbi wa kituo cha Kimataifa cha Mikutano - Arusha Tarehe 18 Octoba, 1983en_US
dc.typeArticleen_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
FOSK5H6.pdf
Size:
1.59 MB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description:

Collections