Nafasi ya dhana ya moyo katika kuibua dhamira na hisia za kishairi: uchunguzi wa ushairi wa andenenga

dc.contributor.authorGawaza, Mwananuru Ismail
dc.date.accessioned2021-10-09T11:15:33Z
dc.date.available2021-10-09T11:15:33Z
dc.date.issued2015
dc.descriptionAvailable in print form, Eat Africana Collection, Dr. Wilbert Chagula Library,(THS EAF PL8704.G38)en_US
dc.description.abstractUtafiti huu unahusu “ Nafasi ya Dhana ya Moyo Kiatika Kuibua Dhamira na Hisia za Kishairi: Uchunguzi wa Ushairi wa Andenenga. Utafiti ulihusisha mashairi kutoka katika Diwani ya Ustadh Andanenga na Bharii ya Elimu ya Ushairi. Lengo kuu l utafiti huu lilikua ni kuchunguza namna matumizi ya dhana ya moyo katika ushairi wa Andanenga yalivyo chochea uteuzi wa mbinu za kimtindo pamoja na uteuzi wa dhamira na hisia za kishairi. Maandiko na mchapisho mbalimbali yahusianayo na mada ya utafiti yamepitwa kwa kina kwa kuongoza na nadharia za Mwigo, Uhusivu n Mwingiliano Matini. Utafiti umetumia mbinu ya uchambuzi matini katika kukusanya data za msingi na data za ufatizi kutoka maandiko mbalimbali. Uchambuzi wa utafiti huu umefanywa kwa kuongoza na mbinu ya uchambuzi wa kimaelezo, uchambuzi matini na uchambuzi wa kifasihi ulioongoza na nadharia za Mwigo, Uhusivu na Mwingiliano Matini. Matokeo ya utafiti yanaonesha kua Andanenga amefanikiwa kutumia dhana ya moyo kwa kuikamilisha ushikamani wake kifani na kimaudhui. Tumelioma hili kupitia mbinu za kimtindo zilizotumika sanjari na dhana ya moyo pia katika dhamira na hisia tulizozichambua zilizonasibishwa na dhana ya moyo. Mwisho, tumetoa hitimisho kuu la utafiti na kuaiisha nyanja mbalimbali za kiutafiti zinazoweza kuibuliwa katika mashairi teule na ushairi wa Kiswahili kwa ujumlaen_US
dc.identifier.citationGawaza, M. I.(2015) Nafasi ya dhana ya moyo katika kuibua dhamira na hisia za kishairi: uchunguzi wa ushairi wa andenenga. tasnifu ya MA(kiswahili). Chuo kikuu cha Dar es Salaam. Dar es Salaam.en_US
dc.identifier.urihttp://41.86.178.5:8080/xmlui/handle/123456789/15935
dc.language.isoswen_US
dc.publisherUniversity of Dar es Salaamen_US
dc.subjectSwahili poetryen_US
dc.subjectSwahili languageen_US
dc.titleNafasi ya dhana ya moyo katika kuibua dhamira na hisia za kishairi: uchunguzi wa ushairi wa andenengaen_US
dc.typeThesisen_US
Files
Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Mwananuru Ismail Gawaza.pdf
Size:
98.82 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: