Unyambulishi wa vitenzi katika lugha ya Runyankore.

dc.contributor.authorCaroline, Asiimne
dc.date.accessioned2020-02-18T14:24:07Z
dc.date.available2020-02-18T14:24:07Z
dc.date.issued2011
dc.descriptionAvailable in print form, East Africana Collection, Dr. Wilbert Chagula Library, Class mark (THS EAF PL8594.N3C37)en_US
dc.description.abstractKazi hii ililenga kuelezea uliyambulishi wa vitenzi katika Runyankore kwa kuchunguza mofimu za Utendea, Usababishi, Utendana, Utendeka na Utendwa. Mkabala wa ufafanuzi ndio umetumiwa kubainisha mofimu hizi, rnfuatano na kanuni zinazotawala pamoja na vipengele vya kiisimu vinavyojitokeza katika mchakato wa unyambulishi. Nadharia mbili zimetumiwa kwa pamoja Kiolezo Good (2007) na Kanuni ya Kioo Baker (1985) kuelezea unyambulishi katika lugha ya Runyankore. Kiolezo cha Mame- Bantu UTTU kama kilivyopendekezwa na Hyman (2003a) ndicho kimetumiwa kudhihirisha kuwa kuna mpangilio maalum wa mofimu nyambulishi katika lugha za Kibantu. Kanuni ya Kioo kulingana na Baker (1985) ni kanuni ya sarufi majumui inayopendekeza kuwa minyambuliko ya kimofolojia ni lazima iakisi minyarnbulika ya kisintaksia na kinyume chake. Kuwa hivyo, tokeo la kimofolojia lilitokana na masharti ya Kiolezo na Kanuni ya Kioo. Moflmu nyambulishi zinazoweza kuelezwa vizuri na Kanuni ya Kioo zimeelezwa na zile ambazo haziwezi zimeelezewa na Kiolezo. Matokeo yameonesha kuwa, unyambulishi wa vitenzi katika Runyankore unahusisha mizizi ya vitenzi ambapo mofimu nyambulishi hupachikwa, Mofimu nyambulishi hizi pia zilionesha tabia ya mofimu mbili au tatu kuambatana katika mzizi wa kitenzi kwa kufuata kanuni. Aidha, michakato mingine ya kiisimu inayojitokeza katika mchakato wa unyambulishaji imeelezwa na namna inavyojitokeza. Mwishowe, tumependekeza tafiti zaidijuu ya mofimu nyambulishi zote na mofimu nyingine zinazounda vitenzi vya Runyankore.en_US
dc.identifier.citationCaroline, A. (2011). Unyambulishi wa vitenzi katika lugha ya Runyankore. Tasnifu ya Uzamili, Chuo kikuu cha Dar es Salaam, Dar es Salaam.en_US
dc.identifier.urihttp://41.86.178.5:8080/xmlui/handle/123456789/7213
dc.language.isootheren_US
dc.publisherUniversity of Dar es Salaamen_US
dc.subjectNyankole languageen_US
dc.subjectMorphemicsen_US
dc.titleUnyambulishi wa vitenzi katika lugha ya Runyankore.en_US
dc.typeThesisen_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
Caroline 2011.pdf
Size:
82.11 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: