Makosa ya kiisimu katika uandishi wa magazeti

dc.contributor.authorMghase, Gloria Elineema
dc.date.accessioned2021-10-15T10:43:39Z
dc.date.available2021-10-15T10:43:39Z
dc.date.issued2011
dc.descriptionAvailable in print form, East Africana Collection, Dr.Wilbert Chagula Library,Class mark (THS EAF PN4793.T34M453)en_US
dc.description.abstractUtafiti huu unashughulikia makosa ya kiisima katika Uandishi wa magazeti hususani magazeti ya Kiswahili ya uhuru wa mtanzania ya nchini Tanzania ya kuanzia Julai hadi Disemba, 2010. Malengo ya utafiti huu ni kubainisha na kuainisha makosa yanayojitokeza katika uandishi wa magazeti, kuelezea sababu za ujitokezaji wa makosa hayo pamoja pamoja na kupendekeza mbinu za kuyapunguza au kuyakomesha kabisa. Ili kufikia lengo hilo, utafiti huu ni nadharia ya Isimu zalishi (Geerative Linguistic Theory) na hasa mkabala wa umilisi na utumizi wa kiisimu (Linguistic competence and Perfomance) ambayo hushughulikia usahihi wa lugha katika matawi yote ya isimu ambayo ni fonolojia, mofolojia, sintaksia na semantic. Vyanzo vya makosa hayo vimebainika kuwa ni pamoja na kutokuelewa maana za maneno yanayotumika katika uandishi, athari za lugha ya mazungumzo katika uandishi pamoja na mazoea mabaya ya matumizi ya maneno mbalimbali. Aidha baadhhi ya mapendekezo yaliyotolewa ili kukomesha kama si kupunguza kabisa utokeaji wa makosa hayo ni pamoja hayo ni pamoja na kuboresha mfumo mzima wa ufundishaji na kuwajengea stadi stahiki za lugha za uandishi makinien_US
dc.identifier.citationMghase G.E (2011). Makosa ya kiisimu katika uandishi wa magazeti. Master dissertation. University of Darr es Salaam. Dar es Salaamen_US
dc.identifier.urihttp://41.86.178.5:8080/xmlui/handle/123456789/16053
dc.language.isoswen_US
dc.publisherUniversity of Dar es salaamen_US
dc.subjectKiswahili languageen_US
dc.titleMakosa ya kiisimu katika uandishi wa magazetien_US
dc.typeThesisen_US

Files

Original bundle
Now showing 1 - 1 of 1
Loading...
Thumbnail Image
Name:
GLORIA ELINEEMA MGHOSE.pdf
Size:
176.99 KB
Format:
Adobe Portable Document Format
Description:
License bundle
Now showing 1 - 1 of 1
No Thumbnail Available
Name:
license.txt
Size:
1.71 KB
Format:
Item-specific license agreed upon to submission
Description: